donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Imerudiiiii
Kinywaji kibovu sana hiki hakina uboraImerudiiiii![]()
burudaniNdo nini hiyooo?
au dengeluachili sosi au nini hicho?!
hahahahahh, ile huwa haiwekwi kwenye chupaau dengelua
kweli maana chupa inaweza yeyuka, glass yenyewe baada ya muda inatobokahahahahahh, ile huwa haiwekwi kwenye chupa
Buku mkuuIyo tamu kishenge ni shilingi ngapi mkuu?
Dah! Mkoa gani zinapatikana?Buku mkuu
Karibia kote mkuu, Ila kiwanda kikuu kipo darDah! Mkoa gani zinapatikana?
Mwanza sijazionaKaribia kote mkuu, Ila kiwanda kikuu kipo dar
Kweli mkuu? Mbona kuna mdau aliniambia zipoMwanza sijaziona
Ngoja nitazisakuaKweli mkuu? Mbona kuna mdau aliniambia zipo