Wazee wa boxer wamefunga mtaa survey

Wazee wa boxer wamefunga mtaa survey

kyemo

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
570
Reaction score
720
Napita zangu kurudi home nikakuta mitaa ya survey watu kibao wamejazana pembeni ya barabara,kushuka kuuliza kuna nini mbona watu wengi,naambiwa wazee wa boxer wamepita km dakika 20 zilizopita wakiwa si chini ya wanne hivi,wamepora pesa kwenye maduka matatu na kibanda cha chips na pia wamekimbia na boxer nyingine iliyokuwa imepaki pembeni,ni hayo tu kwa sasa km kuna mtu ana taarifa zaidi anaweza kutujuza
 
Hao ni mbwa tu...! mbwa kabisa..!!! daah.., sijui tufanyeje hakyanani.., daah..!
 
Maoga sana haya majamaa ndio maana yanakutegea ndio yanaiba,wamekuja na silaha halafu yameiba kwa muuza chipsi hadi kwa muuza genge
 
Naona wameamua kuhamishia matukio usiku
 
Hayo maeneo ya Survey na Mlimani city sio salama siku hizi; ni kwa nini wadau?
 
Hayo maeneo ya Survey na Mlimani city sio salama siku hizi; ni kwa nini wadau?

Nasikia pia maeneo hayo sio mara ya kwanza kuvamia,walishawahi vamia huko nyuma
 
walivamia usiku maduka zaidi ya matano,walikuja na noah na walinzi walileweshwa madawa
 
HHHK njoo usome haya huku
 
Last edited by a moderator:
...dadeki zao,ngoja nikitoka garisa na mashine ya risasi mia,long range sitawakimbia tena unless wanipige telo...
 
Hizi boxer hizi aagh..! mi nlishasemaga zipigwe marufuku mijini all together..,sio k'koo tu.., dar hii zisionekane kabisa...

we boxer wazionea tu...
ukiimarisha ulinz baaas
kwa hiyo staili yako wez wakitumia bastola utasema zipigwe marufuku
wakitumia gar aina ya subaru coz inachanganya faster utasema hizo gar zipigwe marufuku....tumia akili kutatua tatizo sio hizo shortcut
 
Na sasa hivi kuna kikundi cha kiharamia hapa dar wanaiba boxer kwa vijana wanaotafta riziki na wengine sio zao bali wanawaendeshea matajiri zao.

Anakua mtu anakwambia nipeleke sehemu flan mkifika njiani unasimamishwa unapewa vichapo vya ukwel na ukileta ubishi unauwawa inakuja gari ndogo inabeba mzgo na kusepa.

Hili suala hakuna anayeliongelea lakini taarifa za ndani zinadai huu mtandao upo karibu na askari polisi na kila siku zinaibiwa boxer si chini ya 5 maeneo tofautitofauti hapa dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom