Wazee wa basketball !

messanger

Senior Member
Jul 18, 2018
137
186
Wakubwa habari zenu.
Wapendwa mm napenda sana mpira wa kikapu ingawaje sikuwahi bahatika kujifunza, hivyo nahitaji kuwa na sehemu ya kufanya mzaoezi kidogo hapa home.kwa mwenye uzoefu au anaejua bei za magori,mpira au hata location jinsi inavyotakiwa kuwa. tujuzane hapa
images%20(1).jpeg
FT9FPNZHVR7USAM.LARGE.jpg
 
Back
Top Bottom