Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,796
miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, wake za watu mitaani wakawa hawako salama, mpaka watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani