Wazee wa bandari kwishney

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,020
2,000
miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, wake za watu mitaani wakawa hawako salama, mpaka watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,672
2,000
miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, watu wakachapiwa mpaka wake zao mitaani, watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani

Mashirika mengi ndio hivyo tena. Siri ni moja tu. Wajanja wameondoa kupokea hela cash katika mashirika hayo ikiwemo TRA. Kila kitu wateja wanalipia Bank. Mirija ya ujanja na risiti feki ikawa imefikia kikomo. Watu wameacha kazi. Gari hawawezi kuweka mafuta wala kutengeneza tena. Heshima mitaani imerudi. Bado kuna maeneo mengi huo mpango haujafika. Ndani ya miaka mitano hivi huenda wakajifunza kuishi maisha halisi
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,283

Na hao wa benki sasa wanalazimisha sana inafikia kula njama na majambazi ili kuwadhulumu wateja ikiwemo wateja wengine kupoteza maisha
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,020
2,000
Na hao wa benki sasa wanalazimisha sana inafikia kula njama na majambazi ili kuwadhulumu wateja ikiwemo wateja wengine kupoteza maisha

kuna wazee wa bandari wapya wafanyakazi wa makampuni ya simu, ni wezi ni washenzi wamepiliza, hawaachi hata hamsini ya mlalahoi
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,363
2,000
miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, watu wakachapiwa mpaka wake zao mitaani, watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani
Nadhani bado wana mianya ya kuiba tu. Sidhani kama wamezibwa kiasi ulichokisema, maana naona hata wale wadogo bado wanaporomosha majumba ya kifahari na magari sawia
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,727

Una uhakika unacho kinena?
 
everlenk

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
11,604
2,000
Wazee wa bandari wapo bado,ugumu wa maisha ukizidi akili huongezeka,muhimbili wamebana kwa kulipia kila kitu bank lakini wazee wa bandari wanatukomesha kwenye vipimo,unatandikwa bei mpka unakoma, ukiwa na uelewa kidogo unavutwa mkono unaambiwa unasemaje fanyafanya nikufanyie mpango !
 
isambe

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
2,169
2,000
miaka ya nyuma serikari ilizembea kwenye baadhi ya taasisi zake na hivyo kutoa mianya ya watu wachache kujitengenezea mapesa yasiyo na jasho baadhi yake ni bandari, bank tra, tanesco nk, lakini bandari ikaongoza kwa ulaji, jamaa wakawa na pesa chafu, wake za watu mitaani wakawa hawako salama, mpaka watoto wa shule, wanachuo, masista duu wote wakawa wahanga wa wazee wa bandari, mambo yamerekebishwa mirija mingi imekatwa sasa tunaheshimiana mtaani
Hope nawe ulikuwa ni mmoja wa WAHANGA!!!!
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,964
2,000
Hii kweli kabisa Wakuu,kuna Jirani yangu hapa home Dogo fulani alikuwa huko na ukiongezea na Ushomile wake hapa kitaa tulikuwa hatupumui. Mshkaji alikuwa hana salam wala ujirani,jeuri ya kufa Mtu yeye ndio yeye,kwenye mipango yote ya mtaa wote mtakubaliana but yeye peke yake atapinga na kusema kuwa issue hii ni fedha tuu hata kama hilo jambo halihitaji fedha. Mirija ikazibwa life ikawa tight,ili ku-maintains status yake akaingia tamaa wakapiga dil la mafuta huko huko Bandar,dili likabuma wote walioshiriki wakapigwa chini.

Wajanja fulani wakamshauri aende Mahakamni kupinga kufukuzwa kazi,Dogo akaingia mkenge puu Mahakamani,kesi ikaanza mwishoni Dogo akashindwa kesi akaamriwa alipe Fidia za kesi yote,mwishowe akaanza kuuza kila kitu kuanzia magari yake sasa hivi kinachosubiriwa Nyumba tuu,Dogo kwa sasa hana Gari wala nini,heshima debe,sasa hivi akikuona hata ukiwa mita hamsini mbele yake lazima akupe salam ya heshima. Na kinachomsumbua hajapiga shule,ule umjomba mjomba ndio ulimweka Bandari.
 
Mufti Lion

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
244
500

Ni kama namfaham jamaa. Dah si ndio yule alikua anashushia wadau kibano cha haha bila sababu halaf kukulipa.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,020
2,000
Nadhani bado wana mianya ya kuiba tu. Sidhani kama wamezibwa kiasi ulichokisema, maana naona hata wale wadogo bado wanaporomosha majumba ya kifahari na magari sawia

mbinu haziwaishii kila kukicha wana mbinu mpya, unakumbuka ishu za 3b wizara ya nje na safari za mkuu wa nji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom