Wazee niko na matatizo kweli

Wazee niko na matatizo kweli

Yani utakuwa mpoleee kuptlza ! Kwahiiyoo alivooondookaa wewe ukamuangaliaa tuu!
 
Umejuaje kama anakupenda bado? Inaonesha wewe unampenda ndo maana unataka kuzaa naye tena, nenda mafute kwa maongezi muongee mrudiane.
 
Wengine wanaachwa kwa kupenda kwao umwinyi kazi hawataki.......mtu kama huyo unaonaje??????anataka kumtumia mwanamke kama sijui kitu gani!!!!!!!!!!!!!
Sawa miss strong lakini huoni kama kwenye ndoa hilo linaweza kuwa jambo la mpito tu..sidhani kama kuna mwanaume mchakarikaji anapenda kukaa kwenye ndoa bila kazi...Au kama alikuwa ni mwanamke tu hapo tunaweza kuangalia hii kesi kwa mtazamo mwengine...
 
Mmmmmh umejifunga sana funguka usaidiwe,kama ni kwa ajili ya kuzaa naye tu afu umtelekeze mwambie usione so!
 
Wakuu huyu hayupo makini na anachoposti!!Mke amekucha eti huna kazi?Huko aliko anaishije nahuyo mtoto?:whoo😛ole na kuwa makini.

Mkuu nimeachwa na huyu mwanamke kweli ni mzuri bora anirudie,hata kwa dawa,
 
Wazee ninampenda sana ni wa mwanza kwao mzuri sana na mimi ni mkurya kwa hiyo damu ziko sawa
 
Sisi hapa hatukuelewei hata unachoongea ndio sembuse mwanamke anayeehitaji sound za kufa mtu!?

Jifunze kujieleza kwanza mambo mengine yatafuata domo ndio silaha namba kwenye maisha, ukijuwa kuchezesha taya vizuri is all about.
 
Sasa hapo ndio unapotea kabisa,Dawa?Wewe kakuogopa kwasababu ya:boxing:!!Nasikia Wakurya hizi ndio zenu kwani yeye kabila gani?
 
Back
Top Bottom