Wazee niko na matatizo kweli

Wazee niko na matatizo kweli

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
13,663
Reaction score
19,910
Nilikuwa na mke wangu tulizaa nae mtoto 1lakini kaniacha,mimi nampenda sasa namtaka tena nimpe mtoto sasa nifanyeje wazee,jinsi ninavyomuona yuko bado kama ananipenda,nisaidieni nifanyeje wakuu,unaweza tukana ni moja ya elimu.
 
Kisa cha kuachana ni nini?
Shirikisha wazazi na watu wengine kama unataka kurudiana naye.
 
Nilikuwa na mke wangu tulizaa nae mtoto 1lakini kaniacha,mimi nampenda sasa namtaka tena nimpe mtoto sasa nifanyeje wazee,jinsi ninavyomuona yuko bado kama ananipenda,nisaidieni nifanyeje wakuu,unaweza tukana ni moja ya elimu.

Funguka mwanajamvi kama kweli unahitaji msaada. Hapa hujaeleweka kabisa. Kwa nini alikucha?
Tangu muachane ni muda gani umepita?
We muda wote tangu muachane uko vipi kimahusiano?
Sababu gani zinakufanya uwe na wazo la kitaka kuzaa nae tena?
Toa majibu ili upate majibu.
 
Kukosa kujiamini peke yake ni njia ya kushindwa kumrejesha. Hapo kwenye red kunamaanisha bado hujiamini kwa hiyo anza kutibu hilo kwanza.
 
Mambo ndi hayo,mke kaniacha huu ni mwaka sasa,
 
Funguka mwanajamvi kama kweli unahitaji msaada. Hapa hujaeleweka kabisa. Kwa nini alikucha?
Tangu muachane ni muda gani umepita?
We muda wote tangu muachane uko vipi kimahusiano?
Sababu gani zinakufanya uwe na wazo la kitaka kuzaa nae tena?
Toa majibu ili upate majibu.
Kaniacha sina kazi,mahusiano sio mabaya tangia tuachane mwaka sasa
 
Nilikuwa na mke wangu tulizaa nae mtoto 1lakini kaniacha,mimi nampenda sasa namtaka tena nimpe mtoto sasa nifanyeje wazee,jinsi ninavyomuona yuko bado kama ananipenda,nisaidieni nifanyeje wakuu,unaweza tukana ni moja ya elimu.

aiseee ina maana umeachwa bila sababu?- ambacho hukuandika ndicho unatakiwa kukifanyia kazi kuokoa ndoa yako.
 
Samahani unaongelea mke au mwanamke ulozaa nae?Sielewi mke akuache tu kwa sababu hauna kazi...Na akikupa mtoto utaweza kumuhudumia na wewe huna kazi?Kumbuka mtoto wenu wote kwahio hawezi kukupa wewe labda msaidiane malezi 50/50...
 
Wengine wanaachwa kwa kupenda kwao umwinyi kazi hawataki.......mtu kama huyo unaonaje??????anataka kumtumia mwanamke kama sijui kitu gani!!!!!!!!!!!!!
 
wewe raha yako kupata mtoto au kuwa karibu kimapenzi na huyo mzazi mwenzio, kama raha yako ni mtoto mtafutie kwa mwanamke mrembo yeyote atakayekubaliana nawe.
 
Nilikuwa na mke wangu tulizaa nae mtoto 1lakini kaniacha,mimi nampenda sasa namtaka tena nimpe mtoto sasa nifanyeje wazee,jinsi ninavyomuona yuko bado kama ananipenda,nisaidieni nifanyeje wakuu,unaweza tukana ni moja ya elimu.
Kwa hiyo unataka umzalishe halafu aondoke tena..??? Maana uliyoyaandika yanaonyesha hivyo..
 
Unasound kama msukuma aliyeachwa na mwanamke mweupe.
 
Wakuu huyu hayupo makini na anachoposti!!Mke amekucha eti huna kazi?Huko aliko anaishije nahuyo mtoto?:whoo😛ole na kuwa makini.
 
Back
Top Bottom