Wazee mmemwambia mambo haya Rais? Au mnataka tuje tafutiana lawama home?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,745
Isije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya...
1. Vijana wenu hatuna kazi
2. Hamjalipwa au mnasumbuliwa mafao
3. Mna matatizo kwenye kupata huduma za Afya
4. Vijana wenu wanaonewa na Vyombo vya usalama
5. Matatizo ya usafiri ndani ya Jiji?

Mmemwambia hayo? Maana msije mkarudi home kuanza kutusumbua wakati mlikuwa na nafasi ya kuongea hayo. Naona wengi shauku kubwa ilikuwa ni kusubiria Futari.

Tusije ananza.sumbuana hapo baadaye. Mi ndo nmeshawaambia hivyo.
 
Wamepeleka matatizo Yao sio yenu hamuwaoishi siti za kwenye mwendokasi
Sawa kama wanaona issue ni kutoachiwa seat kwenye mwendo kasi haya waendelee tu. Hamna shida. Tunaweza amua kuwa tuwe tunawaachia seats tu ila wasituambie wanataka sijui pesa ya nini. Hovyo sana
 
Isije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya...
1. Vijana wenu hatuna kazi
2. Hamjalipwa au mnasumbuliwa mafao
3. Mna matatizo kwenye kupata huduma za Afya
4. Vijana wenu wanaonewa na Vyombo vya usalama
5. Matatizo ya usafiri ndani ya Jiji?

Mmemwambia hayo? Maana msije mkarudi home kuanza kutusumbua wakati mlikuwa na nafasi ya kuongea hayo. Naona wengi shauku kubwa ilikuwa ni kusubiria Futari.

Tusije ananza.sumbuana hapo baadaye. Mi ndo nmeshawaambia hivyo.
Yaani ukose ajira halafu udhani hilo ni tatizo la mzee wako? —Kwanza uko above 18 hupaswi kukaa nyumbani, kajitafutie.
 
Wamemwambia na majambazi yameshika hatamu majumbani tunalala jicho moja...hofu tupu ukipaki kipasso huna uhakika kama utaamka salama bila kukuta wamekinyofoa kila kitu..! Mbwa wetu wamelishwa sumu...vibaka, wabakaji wote wanashangilia... Polisi tukireport ni kuombwa hela mwanzo mwisho...yaani nimeibiwa lakini bado wananiomba ya mafuta... Mpaka tunamkumbuka mwenda zake..
 
Hao wazee ndio wale wazee wenyewe wa Dar? ndugu zao na Akina Ganze, sheikh yahya na wenzao, vichimba mwiko.
 
Suala la usafiri na wanafunzi kukaa kwenye viti lilianzishwa na Kandoro, mkuu wa mkoa wa dsm, baada ya nauli kupanda. Wanafunzi wakawa na kiburi ile mbaya. Walao makonda walidiriki kuwafokea lakini ikawa haisaidii.
 
Wakati ninyi wazee mnaenda lalamika kuwa hampishwi Seats kwenye daladala na vijana. Mzee mwenzenu kaomba jambo la maana. Abadilishiwe gari lile refu anataka fupi. Kapewa. Nyie mtapishwa kwenye dalàdala haina shida.
 
Isije ikawa mlikuwa mnafurahia tu kuja kupata futru jioni. Halafu baadaye muanze kutusumbua sisi. Mmepata nafasi ya kuongea na Rasi je mmemwambia haya...
1. Vijana wenu hatuna kazi
2. Hamjalipwa au mnasumbuliwa mafao
3. Mna matatizo kwenye kupata huduma za Afya
4. Vijana wenu wanaonewa na Vyombo vya usalama
5. Matatizo ya usafiri ndani ya Jiji?

Mmemwambia hayo? Maana msije mkarudi home kuanza kutusumbua wakati mlikuwa na nafasi ya kuongea hayo. Naona wengi shauku kubwa ilikuwa ni kusubiria Futari.

Tusije ananza.sumbuana hapo baadaye. Mi ndo nmeshawaambia hivyo.
Bahati mbaya iliyoje nawe unawakumbusha wazee wakati Rais akiwa ameshasepa
 
Kaka huu ujumbe ungetakiwa uwafikie wazee kabla ya kuonana na rais,ila ujumbe mzuri san
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom