Wazazi

VoR we ni mtetezi mzuri sana ila kuna watu na watu!Mpaka mtu aliyekukosea wewe akakushtaki wewe usitegemee uelewa na uungwana kutoka kwake!Hapo mkirudi nyumbani ataishia kukupiga madongo!'Unajifanya kulalamika hapa tumefika kule huna cha kusema' hayo ndo yatakua maneno yake!Ustaarabu haufunzwi ukubwani!

Ndio maana huwa ninasema kwenye kutafuta mwenza.., kuna mambo muhimu sana ya kuangalia, na kamwe hautafanikiwa kama mwenza wako hana busara. I always say this am always looking for inner beauty everything else i will get used to, or learn to love...
 
Yeah well..hayo muhimu mara nyingi hutapata ukweli wake mpaka ujifunge kitanzi!
 
Wazazi wengi hupenda kuona watoto wao wanaishi maisha wanayowataka wao wazazi na wawe na tabia kama zao (za wazazi wao).
Binafsi ningependa mwanangu awe na tabia kama zangu ndio ila ubaya ni pale nitakapomlazimisha aishi mfumo wa maisha asiopendezwa nao.
Hapo ndio mgogoro hutokea.
Wazazi hawapaswi kuwalazimisha watoto zao.
 
Yeah well..hayo muhimu mara nyingi hutapata ukweli wake mpaka ujifunge kitanzi!

kweli watu huficha makucha yao lakini thats why kuna siku nilisema, nitatafuta mtu anayenipenda sana (someone who will die for me :) if there is such a person anymore) hata kama sina upendo na huyu mtu lakini tajifunza kumpenda, hapo tutakuwa na perfect relationship, after all relationship is partnership, na kuendesha hili jahazi la mapenzi / mahusiano unahitaji partner kukabili shida zitakazojitokeza, hapo am sure itakuwa till death do us part.., after all huyu mwenza wangu hatakuwa hataki kuniumiza and she will always stand by me.
 
Wazazi wengi hupenda kuona watoto wao wanaishi maisha wanayowataka wao wazazi na wawe na tabia kama zao (za wazazi wao).
Binafsi ningependa mwanangu awe na tabia kama zangu ndio ila ubaya ni pale nitakapomlazimisha aishi mfumo wa maisha asiopendezwa nao.
Hapo ndio mgogoro hutokea.
Wazazi hawapaswi kuwalazimisha watoto zao.

Kweli wazazi hawapaswi kulazimisha ila kuna njia nyingi za kuweza kukataa unaweza ukawa unawaridhisha wazazi kwa kuwapiga sound kwamba unafata kauli zao lakini kumbe sio, pia sio vizuri kuonyesha wazazi kwamba mambo yote hayaendi sawa kwenye ndoa unless its really necessary, sababu am sure ukiwa unawalalamikia sana na matatizo yako, kwa mapendo yao kwako utakuwa unawaumiza
 
VoR That is kinda selfish!Kwanini isiwe wewe ndo umpende sana alafu yeye ndo ajifunze kukupenda wewe?Au kwani usitafute mtu utakayempenda na yeye akupende kama unavyompenda?Personally I wouldn't be thrilled about being madly inlove with someone who has to learn to love me!!Or me learning to love him!It just seems unfair to me!
 
First mimi kumpenda alafu yeye ndio ajifunze kunipenda its ideal.., lakini ni vigumu sana alafu haina guarantee how do I know she can do that

Second wote kupendena sana... thats a marriage made in heaven perfect marriage I wish i will get this one lakini hizi ni chache sana

The third one kwa mimi kubadilisha one way love yaani yake kwangu kuwa ya wote huoni kwamba takuwa nimebadilisha a normal one way love into a perfect love ? Sababu am sure people can learn to love, and there is good in everyone if you concentrate on the positives utampenda, ofcourse haitakuwa fair kuona kwamba mtu anasacrifice happiness yake kwa kukupenda wewe lakini am sure with time haitakuwa sacrifice sababu atajifunza kukupenda..

Now if I were to choose Kwanza nitapenda na ninaomba Mungu nipate mtu ninayempenda sana na yeye anipende sana lakini if not that why dont I create my own perfect relationship? and remember hapa tunaongelea a life time partner so inner beauty must be taken into consideration. Unless you dont believe kwamba you can learn to love someone?

And remember love grows and die..., and if you give a relationship an ideal condition even normal friendship can be turned into love, even your enemy can be turned into a loved one its just setting the ideal conditions
 
VoR...Mhuu!Kwahiyo wewe unapata ugumu kuamini kwamba unaweza kumpenda mtu alafu yeye ajifunze kukupenda wewe?Yeye nini kitakachompa guarantee kwamba utampenda??Au ndo unamdanganya nakupenda wakati unajifunza?Still unfair!Naweza kujifunza kumpenda mtu ila sitaki kujifunza wala sitaki yeye ajifunze!
 
Siwezi kuamini kama atajifunza sababu sipo kwenye roho yake, na sitaki ajifunze sababu its unfair. Guarantee ya kwamba mimi nitampenda na ninao uwezo wa kujifunza ni sababu am sure there is more in a person than what we see at first instance. Kuna siku nilishasema humu Jamvini through experience..,
there was a girl long time ambae watu walikuwa wanasema she looks like a man, kwahiyo people wakawa na majungu na wanamcheka, now mimi at first sikupenda kile kitu na nikamuonea huruma, sababu alikuwa mpweke nikajenga urafiki nae nikawa nae close..., you know what happened.., she turned out to be the most kind, bright and charming lady.. therefore kama ningetaka am sure I could have turned zile attachement nyingine zote kuwa love..., sababu I turned to really liked her company.

Hivyo basi in a day to day issues we all look for mtu anayenivutia mimi bila kuangalia anything else.. what happens we all hope kwamba we will change those other minor things tukishakuwa wote.., lakini tunajikuta kwamba those minor things are major in relationship and we end up being enemies because we have got what we did not bargain for...

Lakini whats unfair, because am sure am capable of loving her from the bottom of my heart so is it unfair to me (no because I can fall for her), is it unfair to her (no because I will give her all the love in due time), Is it unfair to us (no if thats means we can have a long lasting relationship..) au unasemaje ? of course I would not say no to a relationship which ticks all the boxes.., madly in love from the word go.., from the first instance we meet..
 
VoR bado sisapoti swala la kujifunza kumpenda mtu!Na kwasababu hata wewe unaamini tu unaweza ila bado haijatokea lets just leave a blank space there alafu tutajaza siku yakikutokea au yakinitokea!
 
VoR bado sisapoti swala la kujifunza kumpenda mtu!Na kwasababu hata wewe unaamini tu unaweza ila bado haijatokea lets just leave a blank space there alafu tutajaza siku yakikutokea au yakinitokea!

lets hope for the marriage made in heaven... :pray::pray::pray:

But when that fails atleast I will know I will be making someone happy by her finding her perfect match.., someone she has been dreaming for... and with that will come a bonus of her smile brightining the whole house

By the ways Sorry tunachakachukua thread yako.... Hii ni post ya Wazazi ...:shock:
 
lets hope for the marriage made in heaven... :pray::pray::pray:

But when that fails atleast I will know I will be making someone happy by her finding her perfect match.., someone she has been dreaming for... and with that will come a bonus of her smile brightining the whole house

By the ways Sorry tunachakachukua thread yako.... Hii ni post ya Wazazi ...
Tumechakachua wote kwahiyo na mimi inabidi nijiombe msamaha!Lolz!Yeah lets hope for the best!!
 
Lizzy, good thread.

If I understand VoR correctly, yeye anapenda utu wa mtu. In other words, kuna wanaume wengi wanapenda sura na/au mauombo ya wasichana hata kama wasichana hawa wanatabia mbaya ya chuki, umalaya, uchoyo, uongo, wagombanishaji, etc. Wanaume hawa insecure hutaka "trophy wife" to display. These men are unhappily married.

Pia kuna wanawake wanaopenda wanaume wenye pesa bila kujali tabia za hawa wanaume kama ni malaya, mme wa mtu tayari, womanizer, abusive, etc. These women are unhappily married as long as they are taken cared of financially.

VoR is attracted to the inner beauty. There are very few men or women like him. Yeye ajali kama unaweza kuwa na kasoro kama mguu mmoja mfupi, or you are too fat, or too short. Yeye anaangalia tabia ya mtu.

VoR ananikumbusha movie ya Shallow Al...
 
kuishi pamoja na familia baba, mama na sisters/brothers mara nyingi kutakuwa na kero nyumbani,
majority ya mama zetu wana mizizi ya mashetani/fitna ndani ya nyumba - utamtizama kwa hali na
mali lakini utakuta haridhiki na unachompa, siku huna itakuwa ni maneno - "mbona umemletea mkeo/mumeo
kama huna umepata wapi pesa", ukiwaletea watoto pia maneno, "unaharibu pesa kwa wanao", baba huwa
hana matatizo kama mama zetu. JUU YA HAYO, YOTE NI MITIHANI, TUWE TUNASUBIRI ILI TUPATE RADHI ZAO.
 
ni kitu cha kawaida mzazi kumtetea mwanae, mi ndo huwa sijisumbui kabisa kupeleka ishu za ndoa yangu kwa wazazi. i wont gain anything i know, sana sana ni kuongeza stress
 
haya yanayo zungumzwa kweli yapo kama ujawahi kukutana nayo unaweza kuona kama story tu za humu jamvini bali wazazi wengi wameisha sababa bisha ndoa nyingi kuvunjika kutokana na upendeleo wa saehemu moja unakuta mzazi anamshauri mtoto kuvunja ndoa wakati tatizo lenyewe ni dogo kama wange kaa na kulitatatua linge kwisha bila madhara yoyote hivy wazazi ni lazima waache upendeleo ili kujenga jamii mpya
 
Yes nakumbuka pia movie ni nzuri sana and it was so funny.., lakini hata watu wanasema Mungu hakunyimi vyote hata hao ambao huwa sio ma-models they have something to offer
Mmh naona MJ nae anasaidia kuchakachua!
 
Back
Top Bottom