Wiyelelee
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 1,071
- 347
Wana JF,
Katika thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412151-kinachodumisha-mapenzi-hiki-hapa-2.html, Mchangiaji mmoja kwa jina la Mzabzab amesema kitu ambacho kimenifanya nitafakari sana. Alichangia hivi;
"...wewe mama mzazi ata siku moja hawezi kumtakia mwanae mabaya. ndio maana anakutafutia wakawaida anajua hao wazuri tabu tupu..."
Mi nadhani mambo ya kuchaguliwa mke yamepitwa na wakati, lakini kwa hoja ya kwamba ndoa inadumu, na kwamba wazazi hawawezi kumpatia mtoto kitu kibaya, nalazimika kukubaliana nae. Siku hizi, mahusiano yanaaza kwa sms, na kuvunjikia kwenye sma. Angalabhu zamani kulikuwa na vibarua kwa mwandiko wa mwanaume au mwanamke wakijibizana, zikiambatana na maua mazuri! Sasa leo ni email na sms, hata mwandiko wa mkeo mtu huuoni wa kukandikia barua. Unapata email tu! Ndo maana ndoa zinakuwa na mashaka. Ndo maana mke akipewa zawadi ya kiwanja na mme akijenga lazima utasikia kejeri kwa mwanamke! Ndo maana wanawake hawa hawapendi wakwe zao kwakuogopa kukosolewa mara kwa mara! Ndo maana hawa tuliowachaguwa sisi kwa sms, au tulipokutana kwenye daladala la Mbagala-G'mboto, au ile ya Kunduchi -Posta, tukabadilishana simu zetu, usiku huohuo eti "Nakuwaza nashindwa kulala". Mmh!
Ndoa hazi zinakuwa hazina reference point yakudumu. Maana iwapo wazazi wamehusika, mtu utafanya reference hapo, hata kama ni barua, ikiwa mmeudhiana, unachukua barua za mwenzako zenye maua yale unaanza kutafakari. Je wanawake wangapi wanawaandikia waume zao barua wakachora ua nzuri lile ili kumfurahisha mmewe? Hawapo! Sana sana eti wananunua kadi! pumbaf kabisa!
Ndo maana nalazimika kukubaliana na Mzabzab kwamba akheri mke wa kuchaguliwa na wazazi!
Asalaam aleikum.