Je? mke wako anakubalika kwenu kwa kiwango gani?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
ninapoandika huu uzi muda huu sipo na wife nilikosana naye kidogo nikampa nauli arudi kwao, japo lengo langu la kumrudisha kwao limefanikiwa kwa asilimia fulani

maana tayari ameshajifunza kitu

kwanza kabisa alipofika kwao hajawaambia kwamba tumegombana bali amewaambia anaenda tu kula skukuu, ila amewapigia nyumbani kwetu na kuwaambia kuwa nimemfukuza, ndiyo ni kweli nimemfukuza,

amenituhumu nimechepuka na wakati sijafanya hicho kitu na chanzo ni sms kwenye simu, ukweli ni sijachepuka toka niwe naye mwaka wa tatu sasa japo alishaanza kunifanya nichepuke, ndo chanzo cha ugomvi,

tukirudi kwenye mada hapo juu,
nimeishi na mke wangu mwaka mmoja nyumbani kijijini na wazazi wangu
anakubalika sana na ndugu zangu wengi tuseme 95% wanamkubali wazazi wangu ndo kabisaa 100% huwaambii kitu kuhusu huyu mwanamke,

mama yangu baada ya kusikia kwamba nimemrudisha kwao amelia sana nakushindwa kula kwani haamini kama mke wangu anaweza nifanyia maudhi

baba ndo kabisaa hataki kusikia namgombeza huyu mwanamke kwani anasema ni heri ningempa nauli aende tu kijijini kuliko aende kwao,

nampenda mke wangu ila shida yake hajuagi kuomba msamhaha pale akoseapo,

amenipigia simu leo na tumeyamaliza hivo anakula tu skukuu arudi kwani ameniahidi hatarudia tena kufanya kosa kama hilo,

Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana , unauza Uhuru ili ununue utumwa.
 
Mke wangu anakubalika kwa asilimia 98
 
Mimi huyu wangu ni kama nilioa Malaika tuu.

Sio kwetu tuu hata jamii ya hapa inamuelewa handred pasent hadi huwa najinenepea bure tuu alafu ni pisi kali.

Sikuoa matako makubwa mimi.

Nilioa mke na Mama wa watoto wangu.

My wife kunywa soda hapo kwa Msambaaa mwambie aunganishe deni na lile la janaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom