Wazazi wangenichagulia mke...

Wazazi wangenichagulia mke...

Kuchaguliwa mke na wazazi naona kwa upande wangu hapana,dada zangu wa3 na kaka zangu wote walichaguliwa wake na wengine waume na wengine walioana mama mkubwa na mama mdogo,mtoto wa mjomba kwa shangazi, nilisoma mengi wakati wanapogombana mke na mume ilifikia mpaka mtu na dada yake hawaongei sababu kila mmoja ana tete mwanawe,
mm nilisema sitoolewa na mume ndugu,na mwenyezi mungu amenijaalia na wakubwa zangu wengine wameoa wake wengine zaidi wengine wameachana,kwa fikra zangu nahisi bora mtu wanje mara 100 kuliko wandani wanje mtabanana lakini wandani
zogo ungomvi kwenye family na uhasama...
 
Yawezekana wazazi hawakuangalia vizuri na yawezekana pia ni bahati mbaya tu! Pole sana
 
Kuna kitu huwa wengi kuwa tunajidanganya... Eti "Mapenzi ni ya watu wawili" huwa sijui vigezo vya imani hii ni ipi.

Ndoa mnaoana wewe na huyo mwenza wako pamoja na familia nzima. Familia ina nafasi kubwa sana katika furaha, imani na amani ya ndoa tegemeana na circumstances zenyewe.

Kuna kitu huwa wengi kuwa tunajidanganya... Eti "Mapenzi ni ya watu wawili" huwa sijui vigezo vya imani hii ni ipi.

Mmh! sijui umetumia dhana ipi kuandika haya, ila nahisi kuna mushkeli ndani yake. Mapenzi yaliwekwa kwa watu wawili tu na wala sidhani kama inahitaji sana kutumia vipengele vya imani. Kwani ishara rahisi tu tunaweza kuona namna mapenzi yalivyo kwa kuwatazama baadhi ya wanyama.

Ndoa mnaoana wewe na huyo mwenza wako pamoja na familia nzima. Familia ina nafasi kubwa sana katika furaha, imani na amani ya ndoa tegemeana na circumstances zenyewe.

Ndoa ni unganiko la miili miwili tu(familia huwepo kama waanzilishi wa unganiko au facilitators), na baadhi ya imani huenda mbali zaidi na kusema "Ninyi si watu wawili tena, bali mmekuwa mwili mmoja". Vilevile, "Mwanamke atamuacha Baba yake na Mama yake, naye ataambatana na mumewe nao watakuwa mwili mmoja". Hapo kwenye RED maana yake ni kwamba pindi tu watu wanapooana, familia zao zinakuwa hazina tena maamuzi juu yao. Hivyo dhana ya kufikiria kuwa familia ina nafasi kubwa sana... naomba hilo neno "sana" lisiwepo.
 
AshaDii said:
Faida ya kukubali mama kukuchagulia mke hi hizi:-

Utaepuka sana kuwekwa kati na wanawake hao muhimu kuliko wote katika maisha yako... Mara mkeo mkiwa chumbani baada ya faragha - kuanza kulalama juu ya mamako huyo. Au ukienda kwa mama kulalamika juu ya mkeo.

Binafsi hii sababu naiona ni nyepesi sana

Heshima ya mkeo juu ya mamako kuwa juu kwa kutambua kuwa yupo responsible kwa yeye kuwa pale...

Je hapa huoni kutakuwa na nidhamu uoga? NB: Fananisha tu na viongozi au watu wapatao kazi kwa kupitia migongo ya wajomba

Uwezekano wa kupata mke mwema... Sababu hadi mamako a suggest ina maana kamuangalia binti, kaangalia familia pamoja na tabia zao za namna ya kuishi na watu.

Hapa huoni kwamba mwanamume atakuwa amesaidiwa kupenda mwanamke(kumbuka vigezo vya mama ndio vimetumika) na si moyo wa mwanaume kumpenda mwanamke?
 
Kwa nyakati zao ilikuwa sawa kutembea, maana maisha yao yalikuwa marefu, leo hii mimi nitembee hali maisha yenyewe ni mafupi! kadala atazijua mishe mishe za A town? Haya wakija rafiki zangu Baba V, Vin Diesel, The Boss na tajiri wangu AshaDii, akija Mrembo by Nature au mwaJ wakabonga ung'eng'e si watakuwa wameniachia zogo hapo home! Halafu najua gap la uelewa wa mambo kati yangu na kadala niliyechaguliwa na mama yangu ni kubwa sana, atumia kwa inferiority complex na pengine anaweza kupata Depression kabisa. Vinginevyo wadau wasije nyumbani kwangu

you know ze friend of jf you have seid it very well, when ze visit you ze zat your wife will feel very bad, so i wont visit ze you
 
Wana JF,

Katika thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412151-kinachodumisha-mapenzi-hiki-hapa-2.html, Mchangiaji mmoja kwa jina la Mzabzab amesema kitu ambacho kimenifanya nitafakari sana. Alichangia hivi;

“...wewe mama mzazi ata siku moja hawezi kumtakia mwanae mabaya. ndio maana anakutafutia wakawaida anajua hao wazuri tabu tupu..."

Mi nadhani mambo ya kuchaguliwa mke yamepitwa na wakati, lakini kwa hoja ya kwamba ndoa inadumu, na kwamba wazazi hawawezi kumpatia mtoto kitu kibaya, nalazimika kukubaliana nae. Siku hizi, mahusiano yanaaza kwa sms, na kuvunjikia kwenye sma. Angalabhu zamani kulikuwa na vibarua kwa mwandiko wa mwanaume au mwanamke wakijibizana, zikiambatana na maua mazuri! Sasa leo ni email na sms, hata mwandiko wa mkeo mtu huuoni wa kukandikia barua. Unapata email tu! Ndo maana ndoa zinakuwa na mashaka. Ndo maana mke akipewa zawadi ya kiwanja na mme akijenga lazima utasikia kejeri kwa mwanamke! Ndo maana wanawake hawa hawapendi wakwe zao kwakuogopa kukosolewa mara kwa mara! Ndo maana hawa tuliowachaguwa sisi kwa sms, au tulipokutana kwenye daladala la Mbagala-G'mboto, au ile ya Kunduchi -Posta, tukabadilishana simu zetu, usiku huohuo eti "Nakuwaza nashindwa kulala". Mmh!

Ndoa hazi zinakuwa hazina reference point yakudumu. Maana iwapo wazazi wamehusika, mtu utafanya reference hapo, hata kama ni barua, ikiwa mmeudhiana, unachukua barua za mwenzako zenye maua yale unaanza kutafakari. Je wanawake wangapi wanawaandikia waume zao barua wakachora ua nzuri lile ili kumfurahisha mmewe? Hawapo! Sana sana eti wananunua kadi! pumbaf kabisa!

Ndo maana nalazimika kukubaliana na Mzabzab kwamba akheri mke wa kuchaguliwa na wazazi!

Asalaam aleikum.
Hoja yako nzuri sana,ila watu wameelewa upande mmoja.
Kwanza tuongee ukweli sio wazazi wote wapo kijijini now days,wengi wapo mjini,Municipal,City.
Pia labda niseme hivi kweli sio vema kuchaguliwa,Kuna mtazamo mwingine yaani,kama umempenda mwanamke,mpeleke kwa wazazi akakae hata 2 weeks,ktk likizo yake,hapo halafu waulize wazazi hivi mmemuonaje huyu mchumba/mwanamke?niliwahi kuongea na wazazi wote mjini na kijijini,wote walisema hivi:
Ukitaka kujua tabia ya mwanamke unaetaka kumuoa mpeleke kwenu akakae 2 weeks hivi,halafu majibu utapata.
Yafuatayo yanaweza kujitokeza:
watakuambia walioyaona kama anawahi vipi kuamka na kusaidia wazazi wako?sio kulima city,manicipal hakuna kulima hadithi tu hizo.
2.Watakuambia tabia yake and in the future ambayo wewe kwa macho yako ya tamaa ngumu kuona.
3.Na mengine mengi ya ziada,unajua wanawake wanajuana sana,pia wazazi wa kiume wanajua hilo kwa uzoefu.
Watu tunawapeleka nyumbani baada ya kuoa sasa unategemea ushauriwe nini?.nyumbani sio lazima pawe kijijini.Maisha yao hayana tofauti na yetu labda tuwe tunaishi angani,au ulaya lakini hapa hapa tz,tena city au municipal,hakuna diffference ya kusema wao wameishi zamani,Principle za upendo hazibadiliki,thats why bible ni ya zamani bt bado inaleta ladha ya kisasa.
PIA,Hapo ndo jicho la wazazi yanapokuwa 3 zaidi ya tuonavyo sisi,na huo ndo upande au mtu kusema anachaguliwa mke.
Nawakilisha.....
 
hapa kuna jambo sielewi
ebu pima haya mawili
ugomvi wa mume na mke
na ugomvi wa mke na mamamkwe
kati ya magomvi haya mawili ni upi ugomvi mkubwa?

then plus umechaguliwa mke ambayo you dont feel her
halafu hagombani na mamamkwe lakini kila siku anagombana na wewe kuanzia chumbani mpaka sebuleni, barabarani mpaka shopping.
BIG UP AshaDii!

Halafu, huyo mwanamke atakuwa karibu sana na mamamkwe na hivyo itapunguza uwezekano wa kuhitilafiana kati ya hawa wawili...U have
 
Hoja yako nzuri sana,ila watu wameelewa upande mmoja.
Kwanza tuongee ukweli sio wazazi wote wapo kijijini now days,wengi
wapo mjini,Municipal,City.
Pia labda niseme hivi kweli sio vema kuchaguliwa,Kuna mtazamo mwingine yaani,kama umempenda mwanamke,mpeleke kwa wazazi akakae hata 2 weeks,ktk likizo yake,hapo halafu waulize wazazi hivi mmemuonaje huyu mchumba/mwanamke?niliwahi kuongea na wazazi wote mjini na kijijini,wote walisema hivi:
Ukitaka kujua tabia ya mwanamke unaetaka kumuoa mpeleke kwenu akakae 2 weeks hivi,halafu majibu utapata.
Yafuatayo yanaweza kujitokeza:
watakuambia walioyaona kama anawahi vipi kuamka na kusaidia wazazi wako?sio kulima city,manicipal hakuna kulima hadithi tu hizo.
2.Watakuambia tabia yake and in the future ambayo wewe kwa macho yako ya tamaa ngumu kuona.
3.Na mengine mengi ya ziada,unajua wanawake wanajuana sana,pia wazazi wa kiume wanajua hilo kwa uzoefu.
Watu tunawapeleka nyumbani baada ya kuoa sasa unategemea ushauriwe nini?.nyumbani sio lazima pawe kijijini.Maisha yao hayana tofauti na yetu labda tuwe tunaishi angani,au ulaya lakini hapa hapa tz,tena city au municipal,hakuna diffference ya kusema wao wameishi zamani,Principle za upendo hazibadiliki,thats why bible ni ya zamani bt bado inaleta ladha ya kisasa.
PIA,Hapo ndo jicho la wazazi yanapokuwa 3 zaidi ya tuonavyo sisi,na huo ndo upande au mtu kusema anachaguliwa mke.
Nawakilisha.....
Kwanza hiyo ni ngumu kwa siku hizi hujanioa unanipeleka kwenu tena kwa siku kadhaa.kaka achana na mwanamke anaweza fika huko akawa mwanakondoo mpole mchapa kazi anaweka alam saa kumi na moja anaamka na kujifanyisha kazi zote za ndani by saa moja chai mezani anafua hadi nguo za wakwe kama kuna kieneo atajilimisha hadi bustani sasa muoe huone ndio utajua picha halisi.
Mimi naona wazazi sio kipimo tosha cha kujua huyu ni mke sahihi au laa, kijana jipange sababu ya huodari wa kazi za nyumbani sio kipimo cha kujua huyu ni mke mwema
 
hiyo ilikua zamani bwana kwa sasa kipendacho roho hula nyama mbichi
 
Wana JF,
Mi nadhani mambo ya kuchaguliwa mke yamepitwa na wakati, lakini kwa hoja ya kwamba ndoa inadumu, na kwamba wazazi hawawezi kumpatia mtoto kitu kibaya, nalazimika kukubaliana nae

Hakuna cha kuzani wala kukubaliana....COMPLETELY LIMEPITWA NA WAKATI! Labda kwa vijijini sijui, lakini sio mijini!! WHY? Siku hizi ni tofauti kabisa na zamani. I guess zamani mama anaweza kumfahamu binti kwavile anafahamu nyendo za huyo binti from A-Z simply because nyendo zenyewe zilihusisha tu kwenda kisimani kuteka maji, kwenda shambani kulima, kwenda kukata kuni na mambo kama hayo! Sehemu zote, mara nyingi wasichana wanakuwa na wakubwa wao!

Leo ni tofauti sana....mitikasi ipo mingi kufuru!! Mama atakuwa anamfahamu binti kwavile anavyomuona tu hapo mtaani! Mama wala hafahamu binti huyo hufanya nini anapokuwa nje ya kitaa! Mama haendi disco, binti anaenda....mimi naenda! So, hapo utaona mie nina nafasi kubwa ya kumfahamu binti kuliko mama yangu simply because mwote anamopita binti nami napita!

Ni very common kwa wasichana unakuta anaondoka home amevaa kiheshima ile mbaya lakini ana kibegi chako begani! Akishatoka tu home, mbele ya safari anayavua mavazi ya heshima aliyotoka nayo nyumbani na kuvaa vichupi! Haya mama hawezi kuyafahamu, lakini kijana atayafahamu tu!

Kuna mabinti wengine wengi tu, kwenye Offline life ni very decent.....jaribu kutembelea kwenye page zao za social network website like facebook! Unakuta binti yule yule the most decent in offline life, ukiingia online unakuta katupia picha za ajabu za ajabu! Mambo kama haya katu mama hawezi kuyafahamu lakini mimi nitayafahamu tu!

Mifano ipo mengi na katu haiwezi kwisha ambayo yote hiyo itathibitisa tu ni jinsi mom's role to find fiancee for her boy is no longer material!
 
Yawezekana wazazi hawakuangalia vizuri na yawezekana pia ni bahati mbaya tu! Pole sana
Hawakuangalia vizuri wapi?! Lini?! Nyendo za wazee na vijana siku hizi ni tofauti kabisa....in most cases, we're moving towards different direction!! Huyu anaenda kushoto, yule anaenda kulia! Sasa hapo mzazi atafahamu vipi tabia za msichana ambae hafahamu nyendo zake zaidi tu ya kumuona pale mtaani na full maheshima ya kuigiza?! Wazazi wanadanganyika na vitu vidogo sana....akitoka kazini na begi lake mkono na binti akamkimbilia na kumpokea; tayari.....the binti anakuwa branded kwamba ana heshima ile mbaya!
 
Kuna kitu huwa wengi kuwa tunajidanganya... Eti "Mapenzi ni ya watu wawili" huwa sijui vigezo vya imani hii ni ipi.

Ndoa mnaoana wewe na huyo mwenza wako pamoja na familia nzima. Familia ina nafasi kubwa sana katika furaha, imani na amani ya ndoa tegemeana na circumstances zenyewe.

Faida ya kukubali mama kukuchagulia mke hi hizi:-

  1. Utaepuka sana kuwekwa kati na wanawake hao muhimu kuliko wote katika maisha yako... Mara mkeo mkiwa chumbani baada ya faragha - kuanza kulalama juu ya mamako huyo. Au ukienda kwa mama kulalamika juu ya mkeo.
  2. Heshima ya mkeo juu ya mamako kuwa juu kwa kutambua kuwa yupo responsible kwa yeye kuwa pale... Wanawake wengi hekima na busara imewashinda saana juu ya kufanya mashindano na mamamkwe... Husahau kabisa kuwa huyo mi mzaa chema, na kuwa nafasi ya kuwa mwanamke anaye tawala maisha ya mtoto wake ni kitu ambacho yeye (mamamkwe) kama mwanadamu lazima imuume. Hivyo huenda ndani ya ndoa huku kaajianda kabisa kuwa kuna vita dhidi ya mamamkwe juu ya mtoto wake.
  3. Uwezekano wa kupata mke mwema... Sababu hadi mamako a suggest ina maana kamuangalia binti, kaangalia familia pamoja na tabia zao za namna ya kuishi na watu.

HAPANA!
Mvulana kupewa fursa ya kujichagulia ampendae haina maana kwamba mama/wazazi wanakuwa completely excluded! Baada ya kijana kupata ampendae, kinachofuata ni yeye sasa kuwaleza wazazi wake! Hapa ni muhimu sana, tena sana kwa kijana kuhakikisha anapata blessing the wazazi! Na blessing hizi zisiwe za shingo upande, ziwe ni blessing zinazotoka moyoni! Kama kwa wakati huo kijana ataona wazazi hawapo pamoja nae kutokana na choice yake, asifanye papara....anunue muda na itafikia tu wakati wazazi watamuelewa kwa moyo mkunjufu!

Suala la mke kutokuwa na heshima kwa wakwe zake linategemeana na mwanaume mwenyewe! Kama mume yupo weak, basi hata kama mke huyo atakuwa amepewa na mama ake, bado binti anaweza kufanya madudu dhidi ya familia yake!

Ikumbukwe kwamba siku hizi wazazi hawawafahamu vizuri mabinti kama ambavyo tunavyofahamiana wenyewe kwa wenyewe! Wazazi wengi wana-rely na tabia za msichana hapo mtaani; basi! Anamopita msicha huyu, wazazi hawamufahamu, lakini mtu kama mimi naweza kumufahamu na si ajabu tukawa tumeshagumiana mara kibao angle mbaya!!
 
Kwa nyakati zao ilikuwa sawa kutembea, maana maisha yao yalikuwa marefu, leo hii mimi nitembee hali maisha yenyewe ni mafupi! kadala atazijua mishe mishe za A town? Haya wakija rafiki zangu Baba V, Vin Diesel, The Boss na tajiri wangu AshaDii, akija Mrembo by Nature au mwaJ wakabonga ung'eng'e si watakuwa wameniachia zogo hapo home! Halafu najua gap la uelewa wa mambo kati yangu na kadala niliyechaguliwa na mama yangu ni kubwa sana, atumia kwa inferiority complex na pengine anaweza kupata Depression kabisa. Vinginevyo wadau wasije nyumbani kwangu
Yaani wadau wasije kwangu kisa kadala?? Halafu uje ukute wadau wenyewe ndo wale wafanyabiashara wenzangu... SI UTATENGWA, na nikishatengwa nitakosa mavumba and hence kadala ataanza kunywa mvinyo na walationo kwa kisigino na wenye mapigo kwa vile wanazo.

Na hakuna jambo baya kama yakikushinda unaanza kumlaumu aliyekutafutia... Yaani we acha
 
hapa kuna jambo sielewi
ebu pima haya mawili
ugomvi wa mume na mke
na ugomvi wa mke na mamamkwe
kati ya magomvi haya mawili ni upi ugomvi mkubwa?

then plus umechaguliwa mke ambayo you dont feel her
halafu hagombani na mamamkwe lakini kila siku anagombana na wewe kuanzia chumbani mpaka sebuleni, barabarani mpaka shopping.
Halafu ukute sasa mama mkwe mwenyewe yupo MATOMONDO huko songea vijijini, na wewe unaishi na kadala huko A-town. Ugomvi na mama mkwe anaufanyia kwenye simu wakati ugomvi wako wewe na yeye ni LIVE AND DIRECT, upi mkali..? Maana huu wa simu unahusisha gharama (VOCHA) wakati wa kwako ni kuonana tu kunatosha. MONA UTAKIMBIA HOME? USHAONA MTU ANATOKA HOME SAA 10 ALFAJIRI NA ANARUDI SAA SABA USIKU? Sehemu ya kinachosababisha hilo ni ugomvi... Kama ukijichagulia mwenyewe kuna kauvumilivu kanaongezeka kuliko ukichaguliwa
 
Mmenikumbusha mbalii;

Siku moja nilimkarisha binti mmoja nyumbani kwetu bana tulisomaga naye chuo kipindi hicho ila alikuwa nyuma yangu sana. Alipofika kama kawaida wakaanza kumchangamkia na maswali (najua kichwani kwao waliwaza ndo mpango mzima).

Baada ya binti kuondoka wakaanza kuniambia ooh unajua huko Machame sijui kimepanda kimeshuka...na discouragements nyingi.

Sasa miaka imepita mwaka juzi baba akaniambia mwanangu nasikia mama nanii anaumwa huebu nenda kamwone. Mh! haya kwakuwa baba kaniambia nikasema sawa. Mara ananiuliza unawapelekea nn? nikasema hata sijui anaumwa nn si naenda na matunda tu jamani! Akasema mhhh na wale watoto wake (kwanza kidogo atamke mabinti akaji-correct) huwapelekei kitu. Sasa tangu siku ile yeye bize kuniulizia kuhusu hao mabinti...ila jambo analolisahau ni kuwa na wao ni waMACHAME...kasahau kabisaaa zile warnings za mwanzo.

Wazazi bana...acheni tu nikae hivi hivi..si wa kuchaguliwa wala wa kuchagua wote pasua vichwa!!!
 
Nimezisoma comment hizo hapo juu. Wanawake wengi wamelipinga hili. Lakini ukisoma comment hii ya Mentor utaona kwamba wazazi wanamchango mkubwa sana katika uhusiano wa familia za watoto wao...Naiweka hapa

"Sasa miaka imepita mwaka juzi baba akaniambia mwanangu nasikia mama nanii anaumwa huebu nenda kamwone. Mh! haya kwakuwa baba kaniambia nikasema sawa. Mara ananiuliza unawapelekea nn? nikasema hata sijui anaumwa nn si naenda na matunda tu jamani! Akasema mhhh na wale watoto wake (kwanza kidogo atamke mabinti akaji-correct) huwapelekei kitu. Sasa tangu siku ile yeye bize kuniulizia kuhusu hao mabinti...ila jambo analolisahau ni kuwa na wao ni waMACHAME...kasahau kabisaaa zile warnings za mwanzo.:"

Nyingine ni hii ya monaco
"Ukitaka kujua tabia ya mwanamke unaetaka kumuoa mpeleke kwenu akakae 2 weeks hivi,halafu majibu utapata.
Yafuatayo yanaweza kujitokeza:
watakuambia walioyaona kama anawahi vipi kuamka na kusaidia wazazi wako?

monaco amesema ukweli. Ndoa sio tu yangu na mke wangu jamani. Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wanahusika sana!Lakini nimeona wanawake hapa hawapendi, eti kwenda kujijini imepitwa na wakati...

Kwanza hiyo ni ngumu kwa siku hizi hujanioa unanipeleka kwenu tena kwa siku kadhaa.kaka achana na mwanamke anaweza fika huko akawa mwanakondoo mpole mchapa kazi anaweka alam saa kumi na moja anaamka na kujifanyisha kazi zote za ndani by saa moja chai mezani anafua hadi nguo za wakwe kama kuna kieneo atajilimisha hadi bustani sasa muoe huone ndio utajua picha halisi.
Mimi naona wazazi sio kipimo tosha cha kujua huyu ni mke sahihi au laa, kijana jipange sababu ya huodari wa kazi za nyumbani sio kipimo cha kujua huyu ni mke mwema

Kwamwanamke anaependa kuolewa na iwapo anampenda mwenza wake kwa dhati, lazima atakubali kwenda kujijini. Ndo maana wanawake wa siku hizi hata akiolewa eti hapendi kwenda kwa wakwe zake, kwanini?
 
hapa kuna jambo sielewi
ebu pima haya mawili
ugomvi wa mume na mke
na ugomvi wa mke na mamamkwe
kati ya magomvi haya mawili ni upi ugomvi mkubwa?

then plus umechaguliwa mke ambayo you dont feel her
halafu hagombani na mamamkwe lakini kila siku anagombana na wewe kuanzia chumbani mpaka sebuleni, barabarani mpaka shopping.

Unaelekea kusema kwamba ugomvi wa mke na mme ndo mkubwa. Kusema kweli huo ndo mwepese sana iwapo wazazi wamehusika katika kusuka mipango
 
Hakuna cha kuzani wala kukubaliana....COMPLETELY LIMEPITWA NA WAKATI! Labda kwa vijijini sijui, lakini sio mijini!! WHY? Siku hizi ni tofauti kabisa na zamani. I guess zamani mama anaweza kumfahamu binti kwavile anafahamu nyendo za huyo binti from A-Z simply because nyendo zenyewe zilihusisha tu kwenda kisimani kuteka maji, kwenda shambani kulima, kwenda kukata kuni na mambo kama hayo! Sehemu zote, mara nyingi wasichana wanakuwa na wakubwa wao!

Leo ni tofauti sana....mitikasi ipo mingi kufuru!! Mama atakuwa anamfahamu binti kwavile anavyomuona tu hapo mtaani! Mama wala hafahamu binti huyo hufanya nini anapokuwa nje ya kitaa! Mama haendi disco, binti anaenda....mimi naenda! So, hapo utaona mie nina nafasi kubwa ya kumfahamu binti kuliko mama yangu simply because mwote anamopita binti nami napita!

Ni very common kwa wasichana unakuta anaondoka home amevaa kiheshima ile mbaya lakini ana kibegi chako begani! Akishatoka tu home, mbele ya safari anayavua mavazi ya heshima aliyotoka nayo nyumbani na kuvaa vichupi! Haya mama hawezi kuyafahamu, lakini kijana atayafahamu tu!

Kuna mabinti wengine wengi tu, kwenye Offline life ni very decent.....jaribu kutembelea kwenye page zao za social network website like facebook! Unakuta binti yule yule the most decent in offline life, ukiingia online unakuta katupia picha za ajabu za ajabu! Mambo kama haya katu mama hawezi kuyafahamu lakini mimi nitayafahamu tu!

Mifano ipo mengi na katu haiwezi kwisha ambayo yote hiyo itathibitisa tu ni jinsi mom's role to find fiancee for her boy is no longer material!
Unajua kuna watu wanafikiri wazazi wetu ni wazamanisanaa,hivi leo hii mimi nikiwa na miaka mfano 50,mtoto wangu aje aniambie nisimshauri kitu kisha nimepitwa na wakati?eti sielewi mambo ya wakati huo yanavyokwenda,DUUUU,
Ntapinga kabisa principle za maisha ni zile zile kinachobadilika ni aina ya kuishi,mfano tuliomaliza form 4 1990s,halafu uniambie hatuwezi kuwashauri watoto wa form 4 mwaka huu waliofanya vibaya,kisa tumemaliza zamani eti mambo yamebadilika,jamani principle za ndoa si zile zile,haziangalii umjini wala u kijijini,mazingira na viwezeshaji ndo vimebadilika.ila kanuni ni zilezile tu,mfano uniambie eti mzazi wa leo hawezi kumshauri chochote kijana wa kisasa,kisa yeye ni wazamani "hajui"mambo ya kileo,hiyo unajidanganya kabisa wanajua sana jinsi ya mahusiano.kwa hiyo wewe ukifikisha 50yrs utakuwa umepitwa na wakati hutaweza kumshauri mwanao kwa lolote?kaaa,mwalimu wa miaka ya 80s amepitwa na wakati kisa sasa hivi haelewi kitu?jamani experience matters,msingi wa ndoa/upendo ni from GOD,Busara pia,eti hata mkigombana na mkeo wazazi hawawezi kuwasuluhisha kisha hawayajui mapenzi wao ni wa zamani "matatizo ni ya kisasas"?kweli hii? hawana mchango wowote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom