Ndo maana wanaume wanakufa mapemaWanufaika wakubwa wa huu muundo wa familia ni mke na watoto. Mwanaume usijinyime sana kwajili yao ukajisahau ukitegemea unafuu wa maisha badae.
Ukizeeka watamsikiliza, watawasiliana, watajali, watampa pesa mama yao kuliko wewe mwanaume.
Hahah umetuchana Sana, sema watoto ni Raha Sana lakini kwenye majukumu sasa Ni balaaKama wazazi wako huwa wanalalamika kuwa walijinyima sana kwa ajili yenu, basi umezaliwa na wazazi waliofeli vibaya sana. Watu hawapendi ukweli, yaani kuwaza tu hivyo wanaona tayari wanapata laana. Mtu anajinyimaje kugharamia matokeo ya furaha na starehe zake.
Watoto ni matokeo ya starehe zako, hakuna mtoto yoyote aliyeomba umzae. Halafu unakaa kabisa kumuambia mtoto eti niliuza shamba usome. Wee shenzi nini🤣 Uza chochote aisee si ulitaka mwenyewe. Ungetuliza 'genye' unadhani huyo angekuwepo? Na wewe unahaha kwa mikopo kama mwehu kusomesha utitiri wa wadogo zako kisa eti mzazi alijinyima kwa ajili yako. Ulitaka nani ajinyime kwa ajili yako.
Watoto siyo biashara wala bima ya maisha, tunazaa tu kufurahia na siyo kuwafanya pensheni ya uzeeni. Achana na huu mtazamo uliosababisha turithishane umaskini kwenye jamii nyingi.
Me nishawai kumchana baba yangu laivu bila chenga nilizinguana naye akaniambia nilikusomesha nikamjibu unataka nikurudishie pesa zako? huo ilikuwa ni wajibu wako.Hahah umetuchana Sana, sema watoto ni Raha Sana lakini kwenye majukumu sasa Ni balaa
Sawa, Lakini kwanini mzazi asikitike au ajute kwa kitendo alichomfanyia mtoto wake ambacho kimsingi ulikuwa ni wajibu wake?Maisha kusaidiana bhana
Kama kakupambania kuna umuhimu wa kumpambania na yeye
Kuna wengine wamezaliwa wakatelekezwa mpaka Leo hawana mbele wa nyuma vipi wewe uliyekuzwa na wazazi wako
Dogo lako au?me hata selewi mpk sasa anataka hela ampeleke dogo daycare
Siku moja binti yangu wa pili aliniomba pesa, nikampa kidogo, akalalamika, nikamuonyesha bill nilizonazo! Alichoniambia sijakisahau mpaka leo!!!Kama wazazi wako huwa wanalalamika kuwa walijinyima sana kwa ajili yenu, basi umezaliwa na wazazi waliofeli vibaya sana. Watu hawapendi ukweli, yaani kuwaza tu hivyo wanaona tayari wanapata laana. Mtu anajinyimaje kugharamia matokeo ya furaha na starehe zake.
Watoto ni matokeo ya starehe zako, hakuna mtoto yoyote aliyeomba umzae. Halafu unakaa kabisa kumuambia mtoto eti niliuza shamba usome. Wee shenzi nini🤣 Uza chochote aisee si ulitaka mwenyewe. Ungetuliza 'genye' unadhani huyo angekuwepo? Na wewe unahaha kwa mikopo kama mwehu kusomesha utitiri wa wadogo zako kisa eti mzazi alijinyima kwa ajili yako. Ulitaka nani ajinyime kwa ajili yako.
Watoto siyo biashara wala bima ya maisha, tunazaa tu kufurahia na siyo kuwafanya pensheni ya uzeeni. Achana na huu mtazamo uliosababisha turithishane umaskini kwenye jamii nyingi.
Kujuta kunatokea pale ambapo alijitoa sana KWAAJILI yako halafu umekuwa unamuonesha dharauSawa, Lakini kwanini mzazi asikitike au ajute kwa kitendo alichomfanyia mtoto wake ambacho kimsingi ulikuwa ni wajibu wake?
yaan acha tu daycare 20k mamangu nitawezanaDogo lako au?
Dah kwamba wao wameikosa kabisa?yaan acha tu daycare 20k mamangu nitawezana
hatare sana maeDah kwamba wao wameikosa kabisa?
Alitumwa kuzaa, yy ndiye anachangia huyo kiumbe kupata tabu hapa duniani ..Mnaishi kwa ujinga , usawa huu unajipa mamlaka ya kuzaa mpaka watoto wanne .Kujuta kunatokea pale ambapo alijitoa sana KWAAJILI yako halafu umekuwa unamuonesha dharau
Kwa mfano wewe umesema ushawahi kuzinguana na dingi wako so dingi IKABIDI akukumbushe hata wema aliokutendea ili urudi kwenye mstari Ila bro ukakaza
Sasa hapo atachaje kujuta ikiwa hela ya ada aliyotumia kukusomesha wewe kuna wengine kipindi hiko hiko walitumia kulia gambe na kutekeleza watoto wao