Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Ndg. SG !! hizi ni minor cases, Since maono yako ni mapana na long term relationship ya ukoo ..go Ahead jenga kwa babu na mambo mengine Mwenyeezi Mungu atakukamilishia kwa baraka zake... Amini hutopoteza kitu!! kwa kuwa wee kesho utakuwa mzazi na kuwa nawajukuu pia...Mpendwa ni kwel charity begins at home.Lakn aman yangu ipo kijijn kwanza..na nyumban marekebisho yake siyo makubwa sana..
Kuna wakati JF inaboa sana
Hamia facebook
Najijenga usije dhani hizi hela znatokabkwenye mshahara.ishu nilikua nabadilisha maisha..siyo kila siku unatuma hela...mda mwingne unafanya jambo linalo dumu..pesa inaliwa inaisha..nakupenda sana kwetu (mjin na kijijin)..na ndugu zangu ndo muhimili wangu.na sina mawazo ya kutaka URITHI.afu naweza Tangulia mm kufa kama huja jua kua kifo hakina kanuni...KIKUBWA ZAIDI BINADAMU TUPO TOFAUTI KILA MTU NA MALENGO YAKE YA MAISHA....asante kwa kushiriki mkuuDada m naona huna vipaumbele unachozani ww ni cha maana ni siku ukipata msiba watu waone kwenu pako vizuri jijenge kwanza ww binafsi wazee wale hawana tena jipya kesho na kesho kutwa wanapita ivi kitakachobaki ni ugomvi t
Kaatika maisha haitakiwi uingize siasa katika kila jambo. Huyo ni babu yako na wewe huo ndio ukoo wako sio alikotoka mama yako. Kukumbuka ulikotoka sio wote wamejaliwa kukumbuka walikotoka ni baadhi tu ndio maana wengi kashfa haziwaishi mdomoni.Itabdi niongee na mama..asipo nielewa ataelewa atavyo ona tabia yangu haijabadilikana bado nipo nawe ktk hali zote
Kweli chuki haijengi mkuu.barikiwa sanaKweny
Kaatika maisha haitakiwi uingize siasa katika kila jambo. Huyo ni babu yako na wewe huo ndio ukoo wako sio alikotoka mama yako. Kukumbuka ulikotoka sio wote wamejaliwa kukumbuka walikotoka ni baadhi tu ndio maana wengi kashfa haziwaishi mdomoni.
Jenga kwa babu kama ulivyopanga, kisha ukimaliza endelea na huko kwingine kama pia ulivyopanga.
Kama ingekuwa mimi hata kumsikiliza mama nisingemsikiliza mtu anaponishauri jambo la chuki bila sababu sifuati ng'o.
Tunafanana tuHuyu kwenye avatar ni wewe?
Mnafanana umbo au sura au matendo?Tunafanana tu
Don't say yes to Duppy, something is wrong na kauli yake, Fanya kile kitakupa amani ya Moyo wala mama asikushurutishe pia usimfiche ila mwambie kwa upendo tu kuwa hayo mapungufu wewe hayakuhusu and you are doing that with your moral authorityMpendwa ni kwel charity begins at home.Lakn aman yangu ipo kijijn kwanza..na nyumban marekebisho yake siyo makubwa sana..