Baasi kama unamwamini we fanya mambo hayo najua mama utammudu tuu usijali mwenyenzi mungu akutangulie kila hatua na akazifanye ziwe nyepesi kuliko uwazavyo na wawazavyo.Nipo mji mwingne na wazai.ni lazima hela ita tumwa kwa baba.Mungu amsaidie asiitumie kwenye shida nyingne. Lakin pia namuamn hato ila..Kaz ni mm kumuelewesha mama akaelewa..asante mkuu
Barikiwa sana mpendwa..sanaa..maneno yako yamenichoma na kuniponya.Mama kinachomtesa ni hicho jinsi walivyo mtreat hapo zaman..Lakn naiman ntaenda kuweka mbegu mpya na itamea
Wewe una nyumba ngapi Kwanzaa tuanzie hapo?
Sina la kusema.Ila hujui tu vile nimepata wepesi moyon kwa hili jambo..yaan niliumia had mwili kuwaka moto nikijiuliza ni nini hiki.kumbe ndo ukubwa.asante sana Mkuu..na kiukweli hii ndo itanipa nafasi ya kutambulika kua mm ni nani ktk familia.Kua LANGO ni kazi sanaKaribu sana. Huenda ukapata ukinzani kutoka kwake zaidi lakini msimamo wako ndio utakaomponya na yeye. Na baadae utaona akifurahia alichokua anapinga. Jitahidi kama ulikua unampa kitu labda kila mwezi uendelee kumpa ili asijeanza kulalamika.
Unapaswa uwe na msimamo wa kusimamia mawazo yako mema bila kuyumbishwa na baada ya muda watakufahamu hivyo na watakuheshimu hivyo. Ila ukiyumba tu kidogo tegemea kuyumbishwa kila mara. Mama zetu ni wema sana lakini SIO kila ushauri wao niwa kuzingatia. Wao pia ni wanadamu na kuna wakati mwingine ushauri wao huwa ni sio mzuri au kulipa visasi vyao au wa kuwaoneshea wenzao n.k n.k
Tuwaheshimu sana na kuwapenda wazazi wetu ila tupime pia ushauri wao kwa HAKI. Pale tunapoona hawajashauri vzr ni wajibu wetu kuwafundisha kwa VITENDO ama kuongea nao lkn kwa hekima saana.
SanaKuna wakati JF inaboa sana
Sina la kusema.Ila hujui tu vile nimepata wepesi moyon kwa hili jambo..yaan niliumia had mwili kuwaka moto nikijiuliza ni nini hiki.kumbe ndo ukubwa.asante sana Mkuu..na kiukweli hii ndo itanipa nafasi ya kutambulika kua mm ni nani ktk familia.Kua LANGO ni kazi sana
UBINAFI mama zetu wengi wao n wabinafsi Fanya hivi : we endlea na ujenzi kimyakimya kikubwa kuwa pa1 na Baba kwa kila hatua Mama akiwa anakuja juu we usimjibuHakugombana na babu mwenyewe kesha fariki ..ila tu sipendi ile tabia mnaenda kijijin na magar yenu afu nyumba mbaya..ila ye haelewi...anataka wanawe tufanye vya fmly tu na siyo ukoo
Hakugombana na babu mwenyewe kesha fariki ..ila tu sipendi ile tabia mnaenda kijijin na magar yenu afu nyumba mbaya..ila ye haelewi...anataka wanawe tufanye vya fmly tu na siyo ukoo