Aiseeee [emoji1][emoji1][emoji1]Naskia zamani binti akitaka kuolewa alikua anachunguliwa na ndugu zake hasa mashangazi ili kujihakikishia kama ni bk ama lah na ilikua inasaidia wakati wa kutolewa mahari kama uko vzr bk yani ndugu wanapata nguvu ya kudai mahari kubwa no negotiations,ila kama siyo bk utazomewa na mama yako atafedheheshwa kwamba hakukulea vzr. And mode of ukaguzi wa bk ilikua ni kuvua nguo na kutanua miguu ili kucheki sehemu kama iko tight au imeachia,ukikutwa imeachia utachezea kifinyo wewee na masimango juu. Yawezekana ndivo alivofanyiwa mkeo
Kwelii na bora hiyo system ilishajifia maana sijui ingekuaje, ningekimbia huo ukaguzi hahaaaAiseeee [emoji1][emoji1][emoji1]
Naskia zamani binti akitaka kuolewa alikua anachunguliwa na ndugu zake hasa mashangazi ili kujihakikishia kama ni bk ama lah na ilikua inasaidia wakati wa kutolewa mahari kama uko vzr bk yani ndugu wanapata nguvu ya kudai mahari kubwa no negotiations,ila kama siyo bk utazomewa na mama yako atafedheheshwa kwamba hakukulea vzr. And mode of ukaguzi wa bk ilikua ni kuvua nguo na kutanua miguu ili kucheki sehemu kama iko tight au imeachia,ukikutwa imeachia utachezea kifinyo wewee na masimango juu. Yawezekana ndivo alivofanyiwa mkeo
Hahaaà, hapana nimeshare tu experience kwa yale niliyosimuliwa,by the way ndugu zangu walishapitia hizo kaguzi na walikua wakijitunza mno Kuepusha aibu. Tofauti na kizazi chetu tunajiachia tuuVP financial service umewai kupitia huko naona unauzoefu hatari sana au ww n kungwi?
Mara paap utaratibu wa awali umerudishwa ..what will u do? kuna zama nataman ningekuwepo nishuhudie maajabuKwelii na bora hiyo system ilishajifia maana sijui ingekuaje, ningekimbia huo ukaguzi hahaaa
Tobaa,watanisamehe tu ntakimbia kijiji hawatoamini,kudhalilishana tu hahaaaMara paap utaratibu wa awali umerudishwa ..what will u do? kuna zama nataman ningekuwepo nishuhudie maajabu
Bora ukimbie jeraha la kudhalilishwa hudumu milele ...u are geniusTobaa,watanisamehe tu ntakimbia kijiji hawatoamini,kudhalilishana tu hahaaa
For sure mkuu, maana baada ya ukaguzi taarifa hufika kila pembe ya ukoo mpaka majirani,utaskia ndugu wakiambizana umeskia taarifa za FS naskia kakutwa kopo huko,sitaki mimiiiiBora ukimbie jeraha la kudhalilishwa hudumu milele ...u are genius
Etii FS kakutwa na kopo haha kama ni Dada yangu navunja udugu na MamaFor sure mkuu, maana baada ya ukaguzi taarifa hufika kila pembe ya ukoo mpaka majirani,utaskia ndugu wakiambizana umeskia taarifa za FS naskia kakutwa kopo huko,sitaki mimiiii
Teh teh..Eti kopo..For sure mkuu, maana baada ya ukaguzi taarifa hufika kila pembe ya ukoo mpaka majirani,utaskia ndugu wakiambizana umeskia taarifa za FS naskia kakutwa kopo huko,sitaki mimiiii
Hahaha,mkuu utapewa majina yoteTeh teh..Eti kopo..
Sikuhzi bikra mnang'olewa kabla hata hamjafika F1Kwelii na bora hiyo system ilishajifia maana sijui ingekuaje, ningekimbia huo ukaguzi hahaaa
Wazazi nao wananongwa..Sasa bikra au kopo la mchumba wangu linawahusu nn??Hahaha,mkuu utapewa majina yote
Kwamba wahun walkufanyejeKwelii na bora hiyo system ilishajifia maana sijui ingekuaje, ningekimbia huo ukaguzi hahaaa
Hahaa, wahuni siyo watu wazuri Baba Swalehe, acha tuuuKwamba wahun walkufanyeje