Wazazi wameniharibia maisha nazidi kulaani

Wazazi wameniharibia maisha nazidi kulaani

Pole sana kaka, ila jaribu kujua ni kwa nini wazazi hawataki inaweza kuwa ni kwa faida yako.
 
sikiliza wazaz wanaona mbali sana kuna msixhana wa kimasai waliniambia nisimwoe nkabisha nkaanza ish naye mateso nliyoyapata Mungu anajua hadi leo nimeoa mke mwnongne no kushukuru Mungu
 
Hapa kuna maswali kibao ya kujiuliza:

1.wanamkataa kwa sababu wanamfahamu vizuri?

2.wanamkataa kwa sababu hawataki kabila hilo?

Sometimes wazazi huwapeleka watoto wao katika njia mbaya na wakumbuke zama hizi ni tofauti na zama zao.

Unatakiwa uow mtu uliye na hisia nae za mapenzi.

Ndoa hazidumu kwa sababu ya kuoana ovyo ovyo yaani mtu humpendi bas tu. Unayempenda ndo hivyo wazazi hawataki

Uamuzi ni wako mkuu
 
Mkuu nikushauri kitu, mimi nimeoa mchaga nampenda sana mke wangu na yeye ananipenda sana.
Ingawa wazazi na baadhi ya ndugu mwanzoni walipinga kwa sababu zao ambazo ni obvious zinajulikana, ila na mimi nilizicounter kwa kuwaambia dunia inabadilika.

Lakini kitu kimoja unatakiwa utambue,
  • Haijalishi anakupenda kiasi gani,
  • Haijalishi unampenda kiasi gani,
  • Haijalishi anakuheshimu kiasi gani,
  • Haijalishi anakusikiliza kiasi gani,
  • Haijalishi mnaelewana kiasi gani
  • Siku zote mchaga atabaki kuwa mchaga, siku zote ujeuri/ubabe wa kichaga upo ndani ya damu zao, na hii nasema kwa wachaga wote labda kwa Warombo ambao kidogo wapo tofauti.

Kama wewe ni mtu ambaye hupendi kuoneshwa jeuri au kiburi na huwa unawaka hasira mara itokeapo BASI usioe mchaga.
Ila kama wewe ni mtu ambaye sio minder wa vitu vidogo kama hivo oa tu ndugu yangu, mimi nilishaamua kumzoea, siku mashetani yake yakipanda namchukulia kama alivyo hadi yatakapotulia then anajirudi tunaendeleza life.

Mwisho wa yote, Uamuzi sio wa wazazi wako wala wa memba wa JF, bali ni Wakwako peke yako.

All the best.
 
kwenu ni mwanza manzi wako kwao marangu mkuu hao wazazi itakua wanakataa kabila tu..
kama ni walevi wapige bia halafu piga nao story wapige saundi wataelewa tu
maana sometimes kufanya kitu ambacho wazazi hawakifurahii ni kama laana fulani
mzazi no Mungu wa pili
 
Aksanteni sana.huyu mdada nampenda sana,ila mbimbo kama ulivyosema wana kiburi sana aisee wamarangu.ila yote nimeridhika nayo.mapenzi kipofu nampenda ile ile.sasa kukubali kuwa mke wa pili.ndo hataki na mi kumuacha siwezi kwa kweli
 
ngoja niseme kitu humu jf kuna wazaz madingi kabisa hiv inakuaje kila kitu unataka useme ndo kijana wako afate maana wamekuwa wa kwanza kuharibu future za watoto wao na kuanza kukimbilia kwa waganga kwa hili wazaz mbadilike tena sana mwingine unakuta hana uwezo kabisa lakin ni mtoto wake mwenyew anashindwa kumsaidia ila akisikia fulani hana oa au kuolewa mbio kutoa mchango ata kama laki moja na hali tuliyonayo hii ya mpito wew mzaz unakuta umesoma udaktar unalazimisha na mwanao awe daktali uku ukijua kipaji cha mtoto wako ni fasion u miss na usanii ama mambo ya biashara unajua jiulize wewe mzaz baba ako alikuwa daktali kama wewe si alikuwa mkulima tu pale uyole miaka 60 blood ful wazee msiojielewa na hakuna laana ya mbaya kwenu.....

Umesema ukweli kbsa.ila siku nyingine usisahau kuweka .,?!'":ktka uandishi wako
 
Back
Top Bottom