casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,358
- 2,144
kumchunga hutoweza ,yani ukibana uku anatokea kwingine. cha muhimu ni kumuelekeza madhara ya hayo mambo.akipotea akuna atakaemlipia makosa yake.kila mtu atabeba msaraba wake.
Na nyie wazazi mjisaidieNi Mungu tu asaidie.
Kumchunga inawezekana mkuukumchunga hutoweza ,yani ukibana uku anatokea kwingine. cha muhimu ni kumuelekeza madhara ya hayo mambo.akipotea akuna atakaemlipia makosa yake.kila mtu atabeba msaraba wake.
ukimbana sana ina manufaa ya mda mfupi,siku akipata uhuru ndio atataka ajaribu kila kitu.mfano halisi geti kali wengi wanaharibika wakifika chuoni kwasababu wanakuwa huru na nyumbani wanaishi maisha ya kupretend tuu.Kumchunga inawezekana mkuu
Unamzuia kutoka nyumbani .ni yeye na shule shule na wewe
Wengi wanalelewa hivyo lakini wanakengeuka, wanafuata ya dunia NA kuacha mafundisho ya wazaliwe wao, Kwa dunia ya sasa ni vigumu Sana Ila no way wazazi wachukue nafasi yao Kama wazaziMithali 22:6 Neno la Mungu linasema "mlee mtoto katika njia impasayo,nae hatoiyacha hata atakapokuwa mzee"
Mungu alibariki neno lake.
Well saidShida kubwa ni kwa watu wazima hambao wanashindwa kuwaongoza na kuwaonya hawa watoto wetu ili waione kesho vizuri.
Sikuizi hata hatutongozani. Utamtania binti anakupa kweliZamani kijijini kwetu ilikua ukimuangalia msichana tu mitusi mpaka utajuta kuzaliwa... Niliwahi kugusa kanga ya dogo mmoja enzi hizo kesi aliipeleka kwao kilichofata niliona aibu. Lakini kwasasa hali ni tofauti sana... Unaweza kupanga nae lakini pakwenda kufanya nae ndo shida inapokuja hapo,... Lakini wengi wao hawakatai.