Sijui ni nani aliwadanganya baadhi ya wazazi, hasa wale waliotoka kwenye familia duni, kwamba mara tu wakipata vijisenti basi watoto wao hawapaswi tena kufanya majukumu ya kujitegemea wala ya nyumbani.
Kuna baadhi ya ndugu zetu wnalea watoto hivi, watoto wakija kututembelea weekend majumbani hadi tunahisi wana matatizo ya kiafya kumbe ni malezi. Na sisi ni waelewa itakuwaje sasa wakiwa huko ugenini ?
- Watoto wakila waache vyombo kwenye sinki house girl ataosha
- watoto wakitoka shule watupe nguo kwenye tenga hg atafuta
- watoto wakiamka wajianda tu kwenda shuleni hg atafagia uwanja
- watoto wakichezea vitu wasivirudishe walipovikuta
- mazingira ya nyumbani yakiwa machafu hayawahusu wanasubiri mkata majani
- watoto wakunjiwe nguo
- n.k.