Wazazi tuwafuatilie watoto wetu Mashuleni, Majumbani, Makanisani na hata wanapocheza

I think we need to be careful not only that, but also hata hizo boarding schools. kuna watoto kadhaa walisharipotiwa kulawitiana kwenye shule za boding, hasa hao wenye miaka 7 hadi 14. mtoto wako ukiona hana nguvu za kupigana ndio kabisaa, ataonewa huko shuleni na wenye nguvu na wanaweza kumfanya chochote. ukifanya mchezo, mtoto wako anaweza kuwa vyovyote na ajabu yake ni kwamba huwa wanajua kuwa ni kosa na watajitahidi sana kuficha kwa wazazi wasijue kwasababu wanaogopa mzazi atawachapa kwani wanajua ni kitu kibaya, hivyo anaishi nacho hadi uzeeni na anakuwa si riziki ukifanya mchezo.

waalimu wa shule hizi za english medium au niseme wale ma matron, ni wakatili sana na kwasababu wanapewa mshahara mdogo, wanamalizia hasira kwa watoto, wanawaharibu watoto kisaikolojia na kuwavuruga kabisa. kifupi boarding school ni kifungo kabisa kwa watoto. hautajua hilo hadi utakapokaa pembeni na mwalimu au matron anayekupenda akakupa ukweli wa kila kinachotendeka huko. vijana wengi tu wamekuwa mashoga kwasababu ya boarding schools za shule za english medium, hao mashoga wengi unawasikia wapo ni wachache sana wametoka shule za kayumba. Mungu atusaidie hili taifa.
 
Ni kwa neema za Mungu pekee ndo atatusaidia
 
Aisee ni kweli
 
WE JAMAA MUONGO SANA HATA NAMNA YAKO YA KUANDIKA.
 

Ni kweli kabisa, ujira mdogo wa walimu kwenye hizi shule umepelekea wasijali chochote na wawe washenzi washenzi....Serikali nayo haina controlling kwenye hizi shule, hakuna mfumo wa kuziongoza nk...
 
Niko kwenye mawazo sana,kijana wangu anapaswa kuingia darasa la 4 shule anayosoma na hata mashule jiran ni lazima mtoto akae boarding na binafsi sitak wanangu wakae boarding kwa level ya msingi hivyo nimekua njia panda sielewi nafanyajee

Najiuliza kwann serikal iko kimya juu ya huu upuuzi wa boarding za lazima kwa watoto tena wa ma darasa ya msingi
 
Kama.m Kama mimi tuu. Ila nimeshasema hatakaaa..nilimwandikisha Day kwa sbb nilijua ni mdg kukaa boarding kwahyo huo ndo uamuzi wangu..atarudi kama kawaida muda anaotoka shule kama kuna masomo ya ziada wampe mazoezi kwny vitabu vyake. Mtoto mwenyewe msumbufu kula akikaa huko si ndo ataisha. Mimi nimeshajipanga kwa kweli nina facts zangu ntawapa why asikae huko. Kubwa anajiweza kiakili haitaji kukesha huko masaa anajisomea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…