TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,434
- 3,553
Watoto wakike hasa wakisha pevuka wanaishi katika changamoto nyingi sana maana wanakumbana na Vista wishing vingi sana,changamoto hizi huongezeka pale inapotokea mtoto wa kike hapati attention ya kutosha kutoka kwa wazazi wake.
Mfano Kuna mtoto ana umri wa miaka 16 yupo kidato cha nne tangu aliponunuliwa sare za shule aliporipoti kidato cha kwanza mpaka leo wazazi hawajawahi mnununulia sare,wanamuona na sare nyingine na wala hawaulizi kazitoa wapi,ilifika sehemu binti huyu akamtamkia wazi mama mtu kwamba "sitaki shule bora nikaolewe",sasa sijui kanadhano kuolewa ndio mteremko?,obviously ni utoto.
Dada yake amekuwa akihangaika na maisha kila leo ana miaka 22 ana watoto 2 kila mtoto na baba yake,hata akiumwa wazazi hawajali.
Chanzo cha mahangaiko ya watoto ni wazazi kutowajibika ipasavyo kwa watoto wao,watoto wanaona hawana msaada wowote wanaamua waamue watakavyo pasipo uelewa wanadondokea katika majanga ambayo yanafanya maisha yawe mtihani zaidi.
Katharina mtoto anapohitimu masomo na anataka akaanze kujitegemea,either ndio kapata kazi ama hajapata kazi,ni muhimu kwa wazazi kujua anaenda kuanzaje maisha,kwa mtoto wa kiume afadhali lakini si wakike,unategemea ataenda kuanza vipi na hana kitu chochote?,kama sio ataenda kutafuta option kwa Dullah ili aji hifadhi au atumie njia nyingine ili ajikimu na amudu kupata mahitaji?.
Mzazi unataka ukamtembelee binti yako baada ya kwenda kujitegemea,anakupiga chenga,lakini unashupaza shingo kuelewa,unadhani ni ubize kumbe anaishi kihuni na Dulla.
Ama unaenda kumtembelea unakuta anavitu vya thamani na hana kazi,kama ana kazi lakini thamani ile haiendani na kipato chake,wala hata huulozi.
USHAURI.
Watoto wetu wanapoamua kwenda kuanza kujitegemea wazazi tuwape startup,kama anataka afanye biashara,basi akupe mchanganue wa biashara muwezeshe,kama amepata kazi basi mpe kodi ya pango angalau miezi 6,mnunulie vitu vyote vya ndani muhimu na ikiwezekana upatikanaji wa nyumba na mahitaji hayo ratibu wewe mwenyewe,mpe support kila inapobidi.
Mabinti ambao wazazi wao attention ni ndogo kwao wanaishi katika majaribu makubwa sana.