Wazanzibari waishio toronto wailaani zanzibar !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari waishio toronto wailaani zanzibar !!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngida1, Sep 30, 2012.

 1. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Sijui hii kama mmeiona jamani:


  WAZANZIBARI WAISHIO TORONTO WAILAANI ZANZIBAR !!!


  • [*=left]Mayor Rob Ford wa Toronto kupelekewa petition
  “Wazanzibari wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada, pamoja na vitongoji vyake, kila siku wanakasirishwa sana na kuilaani ZANZIBAR”.

  Hayo yalisemwa leo na Bw. Hassan Othman ambae ni Katibu wa ZACADIA. ZACADIA (Zanzibar-Canadian DiasporaAssociation) ni Jumuia ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Zanzibar katika nchi ya Canada na ni chombo muhimu kinachowaunganisha Wazanzibari wote wanaoishi ughaibuni Canada.

  ZANZIBAR NI KWETU: WAZANZIBARI WAILAANI ZANZIBAR!!!   
 2. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,517
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  msitafute kuonekana kama watu wakorofi kwenye nchi ya watu .mlio kwenda kuhemea , mkifungua mashtaka mwenye mgahawa huo .akawaambia .jina hilo ni ZANZI kwa maana ya jina na BAR kwa maana ya bar ya pombe ,simtaaibika bure ,nyie chomeni hizi bar huku unguja ili ukisha pata pesa mkarudi nyumbani kuwe hakuna bar tena ,huko kwa watu mtapigwa pi
   
 3. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  WAZANZIBARI WAILAANI ZANZIBAR!!!  WAZANZIBARI WAISHIO TORONTO WAILAANI ZANZIBAR !!!  • [*=left]Inayolaaniwa ni Nightclub ya Toronto yenye jina la ZANZIBAR!


  • [*=left]Mayor Rob Ford wa Toronto kupelekewa petition

  "Wazanzibari wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada, pamoja na vitongoji vyake, kila siku wanakasirishwa sana na kuilaani ZANZIBAR". Hayo yalisemwa leo na Bw. Hassan Othman ambae ni Katibu wa ZACADIA. ZACADIA (Zanzibar-CanadianDiaspora Association) ni Jumuia ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Zanzibar katika nchi ya Canada na ni chombo muhimu kinachowaunganisha Wazanzibari wote wanaoishi ughaibuni Canada.
  ZANZIBAR inayolaaniwa na hawa Wazanzibari ni ya Toronto, kwani kwa Toronto neno ZANZIBAR ni jina la NIGHTCLUB moja maarufu sana kwa mambo ya ufuska, ukahaba na ngono ambayo ipo katikati ya huu mji kwenye mtaa wa Yonge (# 359) unayoigawa Toronto pande mbili - Mashariki na Magharibi. Zanzibar Nightclub inamambo machafu tele ndani yake na imekuwa ikifanya biashara hii kwa muda mrefu sana - kwa bahati mbaya tokea Zanzibar ipate Uhuru wake - 1963.

  [​IMG]
  A strip club in the heart of Toronto named after the beautiful Islands of ZANZIBAR
  - this deeply enrages Zanzibaris in Toronto!
  Kusudio la Wazanzibari hawa ni kupeleka petition huko City Hall kwa Mayor wa Jiji la Toronto Bw. Rob Ford ili hii klabu ya mambo ya ufuska isipate licence chini ya jina la nchi yao tukufu na takatifu ya Zanzibar.
  "Sio kama mambo haya hakuna huko kwetu Zanzibar hasa kwa siku hizi, lakini linalotusikitisha sisi ni kuwa, the only thing Torontonians know about our country (Zanzibar) is this nightclub. To them, the word ZANZIBAR is synonymous with prostitution. Kama hii klabu ingelikuwa huko Dar-Es-Salaam au Nairobi basi ingelikuwa sio kitu, kwani Zanzibar inajulikana kote huko kuwa ni nchi ya ki-Mapinduzi, lakini kwa hapa Toronto tunajulikana kama ni nchi ya upuuzi kutokana na sura mbaya hii klabu inayotupa", alielezea Mzanzibari mmoja kwa masikitiko makubwa huku akitikisa kichwa chake.

  [​IMG]

  [​IMG]
  Dada huyo anaelekea kazini kwenye Zanzibar Club na mshashi kwa mbali anamperemba!


  [​IMG]
  Above: Night photos of ZANZIBAR - Toronto's wildest strip club. ZANZIBAR features
  dozens and dozens of hot girls prostituting openly, live nude dancing, lap dancing,
  private VIP rooms, bottle service, all day and all night long. No cover, admission
  or minimum charge is required of prostitutes going in for hunting safaris.


  "Muulize mtu yoyote mitaani hapa Toronto nini ZANZIBAR na atakuambia kuwa hapo ndipo kilipo kitovu cha umalaya katika mji wa Toronto", aliendelea kuelezea Mzanzibari mwengine.
  Zanzibar Nightclub inamilikiwa na Mcanada mmoja anaeitwa Allen Cooper. Jitihada za kumpata babu yake (retiree) na kumuuliza alilipata wapi jina hilo hazikufanikiwa. Allen mwenyewe hajui na wala hajui Zanzibar ni nini!Walipoulizwa baadhi ya wenyeji wa hapa Toronto ambao kila weekend wanaitembelea klabu hii juu ya nia ya Wazanzibari waishio Toronto kutaka jina la klabu hii libadilishwe, walijibu…"We have no problem with that at all. Let them give us another exotic name as sexy as the Zanzibar name is", and went on to add that, "What Zanzibaris do not understand is that, their beautiful Islands are being advertised from Toronto to the whole world at gratis."

  Asked about some bizarre sex activities being promoted at the Zanzibar place, some replied by saying that …"Nothing unheard of in sexual relationship is being promoted at the place. The best way to advertise today is through sex. A number of people who have visited the club ended up visiting Zanzibar Islands in real times. Thus, Zanzibaris do need to realize that as far as tourism is concerned the Club works to the economic advantage of their country".

  'The name Zanzibar boasts in spades a true African culture, a friendly religious people, a humble nation and above all natural beauty that is incomparable to any part of the world. Why would one associate such a good name with a strip club?". Queried a Zanzibari who just came to Canada from Tanzania.

  "Kuna wale watakaouliza eti tulikuwa wapi Wazanzibari tokea 1963? Ukweli ni kuwa Wazanzibari tumeanza kuja Canada baada ya 1995 na kwahivyo tusihusishwe na hayo ya nyuma", alielezea kijana mmoja wa ki-zanzibari.

  Alipopigiwa simu Bw. Othman huko kwake North York na kuulizwa juu ya ukweli wa hatua wanazotaka kuzichukua dhidi ya hii klabu, alisema…" Nia tunayo, sababu tunayo, hivi sasa tunangojea wakati muafaka tu ili tui-lodge petition yetu kwa Mayor Rob Ford, huko City Hall".

  Mwakilishi wa ZANZIBAR NI KWETU (ZNK) aliyeitembelea hii klabu aliombwa na management ya klabu kubakia na kutumia bila ya malipo fursa zote za ndani ya klabu pamoja na vinywaji kwa usiku kucha mzima, ili ajionee mwenyewe mambo ya kufurahisha ya klabu hii ya kijitu kizima, lakini alikataa katakata offer hio papo hapo na kusema kwa ukali kabisa kuwa…"klabu hii ni chafu sana na inawafaa mashetani tu - sio mimi", huku akikimbia kutoka nje!

  [​IMG]
  Toronto City Hall where Zanzibaris will soon lodge their petition to the Mayor


  [​IMG]
  Downtown Toronto where most of the Nightclubs are located


  [​IMG]
  Toronto City with the CN Tower landmark towering the horizon​
   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ngida1 Kwa hiyo kwa mtaji huu basi na wakazi wa kisiwa cha MAFIA (Tanzania) inabidi nao walalamike! kwa jina lao kutumiwa vibaya!  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sijaona kinacholaumiwa. Mtoa mada kama kichwa yake imetikiswa vile?
   
Loading...