- Thread starter
- #21
Pasco;
Hakuna ujinga wala mjinga hapa nadhani tumetofautiana mtizamo na uelewa wa mambo. Katiba ya JMT imebainisha mambo ya muungano ambayo yanashughulikiwa na serikali ya JMT.
Pia kuna mambo ya Tanzania bara(Tanganyika) ambayo pia yanashughulikiwa na serikali ya JMT kwa sababu serikali ya JMT imevaa koti la muungano. Katiba haijasema wazanzibari wanahaki na mambo ya Tanzania bara; ni ulimbukeni wa kukariri mambo na kutukuza msimamo/mtazamo wa viongozi wa CCM.
Nakubaliana na wewe kuhusu ajira katika taasisi au idara zihusuzo mambo ya muungano. Baada ya maelezo haya nadiriki kusema wewe ndiye mjinga.

Last edited by a moderator: