Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

LaRosa

JF-Expert Member
Jul 3, 2020
952
2,876
Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.

Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa utoto kwa sababu zako mwenyewe una distort his senses if judgement ukubwana na kuharibu Brain impairment system zote.

Angalia hata kwenye bondia ukipiga ngumi ya nyuma ya kichwa unakatwa point ni faulo. Panalindwa sababu Kuna vitu sensitive sana ila Mzanzibari anapabonyeza hadi mwisho.

Eti asiwe na kichogo na akivaa baragashia apendeze sababu ya kijinga kabisa mnaharibia watoto wa maisha. Nimepita Zanzibar unakuta mtoto hajachangamka kabisa wengine wanatoa madenda tu Kama matahaira sababu brain system zimebonyezwa.

Acheni hili!

images%20(47).jpg

images%20(46).jpg
 
Back
Top Bottom