Ameangalia historia iliyoko iliyoko chuoni kwao Ilinois Marekani.. Yaani Mtaanzania anatafuta historia ya Tanzania huko marekani alafu
anakuja kutufundisha huku Tanzania
Kaka angalia vizuri hiyo Historia ya hapo chuoni kwenu,kwanza nataka uamini kuwa wazungu wame -"manipulate",historia nyingi tu sio ya Zanzibar tu bali ya Dunia nzima,mfano angalia historia ya Pharaoh wa Egypt umeshawahili kuona
Pharaoh huyo au hao kuwa na Portrait ya mtu mweusi..
Kuhusu historia ya Zanzibar tulivyoambiwa na mabibi na mababu zetu, simulizi zinasema kuwa Warabu wa Oman waliitwa na wenyweji wa Zanzibar,sababu ya wenyeji kuwaita Warabu ilikuwa wanataka msaada wawaondoe Wareno ambao walikuwa wanawatesa wenyeji,lakini sababu kubwa ilikuwa ni tafauti za dini.
Warabu wakisaidiana na wenyeji walifanikiwa kumuondoa Mreno,baada ya muda kupitaya Wenyeji na Warabu wa Oman walikubaliana kuwa bora warabu wa Oman waweke utawala wao mdogo pale Zanzibar,yaani kulikuwa na tawala mbili za kisultani moja ilikuwa Oman na moja Ilikuwapo Zanzibar.
Huo ndio ufupi wa historia ya wanzibari na warabu,Ukianagalia kwa Undani wababu zetu walikuwa na hekima sana walijua kuwa udogo wao hawataweza kupambana na mataifa makubwa lazima wawe na alliance.
Kwahiyo walikuwepo wenyeji kabla ya warabu kuja zanzibar,Je nani mwenyeji wa Zanzibar?Security na uchumi wa Zanzibar ndio ilikuwa lengo la wazanzibar wa wakati huo kuwaita warabu Zanzibar.......,Tafakari
Kumbe hata huko ughaibuni kuna viroba? ulivyosoma na ukaamini sasa hiyo historia usiweke humu sema wenye historia wakupatie ili ujifunze kama mwafrika na sio kama mzungu na upende details kama wamerekani wanavyojinasibu?
Kwani Kongo ni wamanyema tu? ndio maana wao wanasoma vitu vya ukweli nyie wanawatia ujinga hata mkirudi bongo mnakuwa hamna msaada sio kwa nchi bali hata familia zenu zinazoungaunga ili msome uko ng'ambo.

....waeleweshe wazungu wanaokufundisha, na tumia akili ya kawaida kujua kuwa zanzibar ni kipande cha mama afrika....na kulikuwa na maisha ktk zanzibar kabla ya kuja wageni wa kila aina na ghilba zao za kikoloni...!zanzibar ni sehem ya historia ya mtu mweusi...na historia ya ukoloni, na ghilba na ghilba zake...
FATILIA HISTORIA VIZURI HAKUNA KISIWA CHOCHOTE DUNIANI KILICHOKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA
EBU NIAMBIE MWAKA 1700 NI KABILA LIPI LILIKUWA LINAISHI ZANZIBAR MAANA WATU WANAJITAHIDI KUBISHA WAKIDHANI HISTORIA YA ZANZIBAR IMEANZA MIAKA 2OO ILIYOPITA JUST GO BACK
Ila aliapa atayalinda mapinduzi yaliyowaondoa wajomba zake waarab hapo visiwani....karume junior hakuwa chotara?
Hivi wewe unaongelea historia gani? Maana umeng'ang'ania tu historia inasema! historia inasema! Hivi unashindwa nini kutuwekea maelezo yaliyoshiba yenye vyanzo na ushahidi wa kutosha ili tujiridhishe na hiyo historia yako ya kizungu uliyoipata huko chuoni? Kinyume chake huna ulijualo!NAHISI UNA TATIZO LA UELEWA WA HISTORIA
HISTORIA INASEMA WAZI KUWA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA SASA NAOMBA UNIJIBU ZANZIBAR NI KISIWA AU SIYO KISIWA? TUNAPOONGOLEA HISTORIA TUNAMAANISHA VIZAZI VINGI VILIVYOPITA ILA WEWE UNAKURUPUKA NA KUANZA KUKASHIFU TU KWAMBA HATA TUKIRUDI HATUSAIDII NCHI WALA FAMILIA ZETU. WHY ARE TALKING ALL THOSE NONSENSE? THE HISTORY GOES BACK TO THE REIGN OF EGYPT EMPEROR, PERSIAN EMPEROR,BABYLONIAN EMPEROR UP TO THE ROMAN EMPEROR LAKINI UNAJITOKEZA TU UKIDHANI TUNAONGELEA HISTORIA YA DARASA LA SABA
PLEASE DON'T COMMENT IF YOU DON'T HAVE ENOUGH DETAILS
NAHISI UNA TATIZO LA UELEWA WA HISTORIA

Mwarabu Zanzibar alitangulia kufika mapema japo na mzungu alifika ndiyo maana kuna kanisa la zamani sana lilijengwa kabla hata misikiti haijajengwa, wazungu hawakukaa sana na walishindwa kueneza ukiristo kutokana na kulemewa na idadi kubwa ya Waarabu na watumwa ambao na wao walisilimishwa mapema pindi wakikamatwa utumwani, walipelekwa Zanzibar tayari wakiwa waislam hivyo ikawa vigumu Dini zingine kuenea Zanzibar. Kwa kifupi Zanzibar haina mwenyewe wote ni wahamiaji tu, Ndiyo maana Tanganyika imewatawala miaka yote na kila jambo huamuliwa toka Tanganyika mpaka sasa Dr shein anatawala kwa nguvu za Rais wa Tanganyika, hata mishahara posho na pesa za kuendesha Serikali ya Zanzibar hutoka Hazina Dsm.
Kaka angalia vizuri hiyo Historia ya hapo chuoni kwenu,kwanza nataka uamini kuwa wazungu wame -"manipulate",historia nyingi tu sio ya Zanzibar tu bali ya Dunia nzima,mfano angalia historia ya Pharaoh wa Egypt umeshawahili kuona
Pharaoh huyo au hao kuwa na Portrait ya mtu mweusi..
Kuhusu historia ya Zanzibar tulivyoambiwa na mabibi na mababu zetu, simulizi zinasema kuwa Warabu wa Oman waliitwa na wenyweji wa Zanzibar,sababu ya wenyeji kuwaita Warabu ilikuwa wanataka msaada wawaondoe Wareno ambao walikuwa wanawatesa wenyeji,lakini sababu kubwa ilikuwa ni tafauti za dini.
Warabu wakisaidiana na wenyeji walifanikiwa kumuondoa Mreno,baada ya muda kupitaya Wenyeji na Warabu wa Oman walikubaliana kuwa bora warabu wa Oman waweke utawala wao mdogo pale Zanzibar,yaani kulikuwa na tawala mbili za kisultani moja ilikuwa Oman na moja Ilikuwapo Zanzibar.
Huo ndio ufupi wa historia ya wanzibari na warabu,Ukianagalia kwa Undani wababu zetu walikuwa na hekima sana walijua kuwa udogo wao hawataweza kupambana na mataifa makubwa lazima wawe na alliance.
Kwahiyo walikuwepo wenyeji kabla ya warabu kuja zanzibar,Je nani mwenyeji wa Zanzibar?Security na uchumi wa Zanzibar ndio ilikuwa lengo la wazanzibar wa wakati huo kuwaita warabu Zanzibar.......,Tafakari
Uwe chotara au un-chotara sisi mabwana zenu hatujalia wajibu wetu ni kuakikisha tunawachagulia viongozi tunaowataka sisi. Tulichoamua ni kutompatia chotara nchi ata wazanzibar wakimchagua. Hii dhana tutaindeleza daima hapo ndo mtatujua vizuri wabara.
...lkn tayari kuna uthibitisho wa masalia ya kihistoria: mafuvu yamepatikana zanzibar na uchunguzi wa kisayansi, umeonesha ni ya binaadam alieishi miaka elf3 iliyopita...unasemaje juu ya hilo?WEWE HUELEWI UNACHOSEMA. VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU UNACHOBISHA NI NINI? FANYA UTAFITI UTAGUNDUA KUWA KISIWA DUNIANI WATU WALIHAMIA NA ZANZIBAR NI KISIWA KAMA VISIWA VINGINE USIWE MVIVU WA KUFIKIRI.
...hapo pia panaleta swali lingine:historia ya kijiografia inatuambia kuwa awali hata dunia ilikuwa ni bara moja kubwa(pangea): haiwezekani wakati wa kukatika kwa pangea, baadhi ya vipande vya ardhi vilivyokuwa na binaadam vilimegeka na watu wake, na hivyo hoja ya watu wote wa visiwani ulimwenguni kote ni wahamiaji ktk visiwa hivyo, kuzidiwa uzito na ukweli mwingine tofauti?NAHISI UNA TATIZO LA UELEWA WA HISTORIA
HISTORIA INASEMA WAZI KUWA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA SASA NAOMBA UNIJIBU ZANZIBAR NI KISIWA AU SIYO KISIWA? TUNAPOONGOLEA HISTORIA TUNAMAANISHA VIZAZI VINGI VILIVYOPITA ILA WEWE UNAKURUPUKA NA KUANZA KUKASHIFU TU KWAMBA HATA TUKIRUDI HATUSAIDII NCHI WALA FAMILIA ZETU. WHY ARE TALKING ALL THOSE NONSENSE? THE HISTORY GOES BACK TO THE REIGN OF EGYPT EMPEROR, PERSIAN EMPEROR,BABYLONIAN EMPEROR UP TO THE ROMAN EMPEROR LAKINI UNAJITOKEZA TU UKIDHANI TUNAONGELEA HISTORIA YA DARASA LA SABA
PLEASE DON'T COMMENT IF YOU DON'T HAVE ENOUGH DETAILS
....labda niweke hivi,mwenyeji haswa,alepokea wengine ni nani? Alitokea wapi?sbb ugeni na uhamiaji ambao unaonekana umeusoma ni ule wa kiwango cha zama za mitume(ra),ambao ktk maeneo ya nje ya mashariki ya kati ni vigumu kupata ukweli wa asili ktk maeneo kutokana na uharibifu,na ghilba za kihistoria zilizofanywa na wakoloni zikilenga kujihalalisha kuwa nao ni wa asili ya hapoMAREKANI HAKUNA WAZUNGU KUNA AMERICANS WAZUNGU WAPO ULAYA....
WANAFUNDISHA VIZURI SANA ILA WEWE NDIO UNASHINDWA KUELEWA NILICHOKISEMA NILISEMA ZANZIBAR WATU WOTE NI WAGENI.
ANGALIA HISTORIA VIZURI....INAELEZA WAZI KWAMBA VISIWA VYOTE DUNIANI HAVIKUWA NA WATU ILA WALIHAMIA
YOU CAN JUST GOOGLE THE HISTORY OF ISLANDS HII INATOSHA KUKUONDOLEA UBISHI WA KUKURUPUKA
....kwa hoja yako basi si visiwani tu walihamia...jamii ya wabantu, kush,nilotiki,na waongeaji wa kinguni(nguni speakers)...hao wote asili yao ni kituo kimoja katika sehemu fulani yatu afrika, na kwa kutokea hapo wakasambaa....nani anabakia kuwa mwenyeji wa asili, mfano ktk nchi kama kenya...au bagamoyo?Hakuna visiwa duniani ambavyo vina wenyewe, vyote vina wahamiaji ambao walitoka nchi kavu kuvifuata. Zanzibar kuna wamanyema, wangoni, wayao, wandengereko na watu wa makabila mengi ya mwambao ambao wamechanganya damu na waarabu. Kwa asili binadamu anacho kiburi, wale wanaojiita sisi hufanya hivyo kwa sababu ya kiburi lakini ukweli wanaufahamu fika kuwa visiwa vyote vilifuatwa na watu.