Wazanzibar wote ni wageni

Uwe chotara au un-chotara sisi mabwana zenu hatujalia wajibu wetu ni kuakikisha tunawachagulia viongozi tunaowataka sisi. Tulichoamua ni kutompatia chotara nchi ata wazanzibar wakimchagua. Hii dhana tutaindeleza daima hapo ndo mtatujua vizuri wabara.
 
nafikiri jamaa alimaanisha HAWAKUJA kutawala na si HAWAJUI kutawala...hebu msome tena comment yake...
 
Inaonekana umeiva sana historia...Kwa kua jina Tanganyika lilikua rasmi mwaka 1920...
naomba utusaidie kujua jina Zanzibar lilikua rasmi lini?...
maana yake nini?...
na kabla ya hapo iliitwaje?

majibu hayo yanaweza kutusaidia kujua wenye mji hasa ni akina nani..

Tafadhali.
 
Uwe chotara au un-chotara sisi mabwana zenu hatujalia wajibu wetu ni kuakikisha tunawachagulia viongozi tunaowataka sisi. Tulichoamua ni kutompatia chotara nchi ata wazanzibar wakimchagua. Hii dhana tutaindeleza daima hapo ndo mtatujua vizuri wabara.
...karume junior hakuwa chotara?
 
.......nahofu umembebesha mzigo mzito mno!
 
...vema...! na kabla ya waarabu kufika zanzibar na kuwakusanya watu wengi kutoka mataifa mbali mbali kama unavyosema, hakukuwa na watu wakiishi unguja?
 
Namaanisha chotara wa CUF
ok!...hiyo kitu kuna dalili ikawa ni kweli....lkn pia wanasema ( maneno tunayasikia), kuwa kuna njama zanzibar isitawaliwe na mzanzibar wa kutoka pemba, ila tu labda kwa kuridhiwa na "wanasiasa waandamizi" wa unguja...!
 
Idara ya mambo ya kale UDSM ilifanya uchunguzi Zanzibar na kugundua mafuvu ya watu wa kale Sana kwenye mapango
Mafuvu hayo yalipimwa Marekani na kuonyesha Ni ya miaka zaidi ya elfu tatu iliyopita.
Hi Ina maana kulikuwepo watu kabla ya hawa wanaojiita wa Zanzibari wa sasa
Inasadikiwa walifika na hawa kima wekundu wa Zeni
Source: utalii wa ndani Chanel ten (archives)
 
Zanzibar ni sehemu ya afrika full stop!
 
...ikishaingia hoja ya uhamiaji wa waarabu, na wengine wa aina hiyo, lazima tuzingatie kweli kuwa zanzibar ya afrika, ni sehemu ya asili ya waafrika...! waarabu, wahindi, wazungu na wengine wa aina yao wana ardhi ya asili zao ktk dunia...muhindi yeye ni sehemu yeyote ktk south asia, na muarabu tunaokaa nao kindugu mitaani, wao ni ktk arabian peninsula.. wao ni kizazi cha wahamiaji, na waafrika weusi ( bila kujali kama ni wa civilization ya kibantu, kikushi, kinilotiki) ni kizazi cha wenyeji...!...ni jambo la kujivunia kama kuna kujitambua na kuishi kwa kuheshimiana na kuaminiana kama ilivyo kwa kiasi kikuba sasa, ukiacha fitna za siasa, na za kidini(ambazo msingi wake-hizo za kidini-ni kutokuwepo kwa ucha mungu)...
 
.......asante sana mkuu!...ni mawazo ya kuhalalisha ukoloni kutoka kwa wenye mapenzi na waliokua wakoloni wa zanzibar..!
 
 
watu humu kila kitu wanajifanya wajuaji. historian no pans kuliko bongo zenu. wapi yeriko nyerere kuja huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…