Zanzibar iliporwa wapi hapo ambapo palikuwa himaya yake?Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.
Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
Waarabu walikusanya watu wengi toka mataifa mbalimbali hususani yale ambayo yapo karibu na kigoma na Tabora ndiyo maana kule Zanzibar kuna watu weusi tena kuliko wanubi wa Sudan kusini, kuna mseto mkubwa sana wa watu lakini idadi kubwa ya wahamiaji wa Zanzibar walitoka kigoma na Tabora ndiyo maana hadi leo wageni wengi huitwa Wanyamwezi.kuna Wazanzibari ambao asili yao ni kutoka Kenya,Ushelisheli n.k.
ukisoma makaratasi fanya na utafiti.
Wakabaki wageni yaani watumwa toka Tanganyika ambao sasa hujiita wazawa wa Zanzibar.usitubabaishe wewe. kwani historia ya zanzibar ndio unaijua wewe tu? waliokuja kwa biashata ya watumwa walishatimliwa 1964.
Mkuu hebu kabla hujatunyooshea vidole wazanzibari kosha mikono kwanza na ujitazame wewe mwenyewe,hivi unaijua historia ya tanganyika wewe,hivi unajua kwanini watanganyika wengi sana hawapendi kuitwa watanganyika na sio kama hawapendi kwa sababu jina tanganyika ni baya, ila haimo kwenye nyoyo zao kuwa wao ni watanganika,sababu ni kuwa hakuna kitu tanganyika na hakuna watanganyika halisi, watanganyika wa sasa ni watu wa congo na central africa ambao wengi walikuja kwenye mwambao wa bahari kwa baisha ya utumwa na wengine walikuja kujitafutia kazi baada ya biashara ya utumwa kusitishwa 1833, 1900 ndio watu wa central africa na congo walianza kukimbilia mwambao wa africa ndio hao baadhi wamekuja hapa zanzibar na kuchanganya na warabu na wengine wakaishia tanganyika hapo.
kabla ya hizo tarehe za utumwa ma migration zanzibar haikuwa na sura za waafica wengi lakini bado ilikuwa zanzibar na tanganyika ilikua haipo kabisa
....waeleweshe wazungu wanaokufundisha, na tumia akili ya kawaida kujua kuwa zanzibar ni kipande cha mama afrika....na kulikuwa na maisha ktk zanzibar kabla ya kuja wageni wa kila aina na ghilba zao za kikoloni...!zanzibar ni sehem ya historia ya mtu mweusi...na historia ya ukoloni, na ghilba na ghilba zake...Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;
Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.
Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.
Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
....idea ya mwandishi, na aliemfundisha huyo mwandishi si sahihi.....hapo kinachoogopa kusemwa ni kwamba wakoloni hawakukuta mwenyeji....! Na kwa nini haisemwi juu ya comoro, au mafia?...hoja ya kizushi ya namna ilikataliwa kihoja, kuanzia kwa christopher Columbus na uzushi wake ktk jamaica...historia ni jambo moja lkn kucheza na historia mtu mweusi, ni upuuzi usiokubalikaDON'T READ WITHOUT MEDITATING THE TOPIC AND START COMMENTING
YOU SHOULD GET THE IDEA OF THE WRITER FIRST AND THEN COMMENT.THE HEADING INASEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI
UNABISHA THEN UNAKUBALI KWANI UNAPOSEMA WANGAZIJA UNAMAANISHA SIYO WAGENI BALI NDIO WENYEJI WA ZANZABAR? JUST GO DEEPER AND DEEPER
Du! Umekurupuka -angalia timeline yako utakuja kujua paka watu waegawanyika kuwa wahadimu,wangazija ,watumbatu na vikabila vingine wahamiaji walikuwa wame-settle muda mrefu .Zanzibar ni kisiwa kwa hiyo unataka kutuambia hao watu walikuwepo huko toka enzi za plate tectonics ?Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.
Pasco
...kaka, katiba ya mwanzo unayoizungumzia,iliandikwa na waislam....! Na uislam si uarabu, ingawa sehemu kubwa ya waarabu ni waislam...Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.
Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
Mmmhh!! Hili jipya,kumbe Shein ni mkongo😕Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;
Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.
Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.
Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
well doneWaarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.
Hapa Afrika Mashariki as of up to the 19th Century hata hizi nchi zinaozoitwa sasa Tanganyika, Kenya na Uganda hazikuwako. Wakati Zanzibar ipo ni dola tena Himaya kubwa. Eneo lote la Afrika ya Mashariki lilikuwa chini ya Himaya ya Zenj Empire isipokuwa Old Zimbabwe na Zululand. Tanganyika ilipata jina lake rasmi 1920. Kigoma ilitewa chini ya himaya ya Belgian Congo na kukabidhiwa Tanganyika mwaka huo huo. Ukoloni wa mzungu kwa ulaghai wa wamisheni hamuusemi nyinyi kama wao ndio waliigawa Afrika lwa kujikatia kila mtu pande lake. Zanzibar iliporwa eneo lote lilokuwa himaya yake na kubakishiwa visiwa vyake viwili. Halafu leo mnadiriki kusema Zanzibar si nchi.
Sasa basi na nyinyi mrudi kwenu Nigeria na Cameroon maana historia ndiyo inavyosema kuwa watu weusi waliingia Tanganyika kutoka Nigeria na Cameroon.
.....labda ieleweke tu kuwa zanzibar ni kipande cha afrika, na ktk mazingira ya wakati ule mtu mweusi kufika zanzibar alikuwa bado ndani ya mipaka ya ardhi ya nyumbani kwao(mama afrika)...haya yanayoendelea sasa zaidi ni athari na ghilba za wakoloni na wale wote ambao nafsi zinatambua kuwa kwa asili wao wana kwao, mbali na nje kabisa ya afrika!Du! Umekurupuka -angalia timeline yako utakuja kujua paka watu waegawanyika kuwa wahadimu,wangazija ,watumbatu na vikabila vingine wahamiaji walikuwa wame-settle muda mrefu .Zanzibar ni kisiwa kwa hiyo unataka kutuambia hao watu walikuwepo huko toka enzi za plate tectonics ?
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.
Pasco
Kuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;
Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.
Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.
Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
Kaka angalia vizuri hiyo Historia ya hapo chuoni kwenu,kwanza nataka uamini kuwa wazungu wame -"manipulate",historia nyingi tu sio ya Zanzibar tu bali ya Dunia nzima,mfano angalia historia ya Pharaoh wa Egypt umeshawahili kuonaKuna watu wamekuwa wakiwadanganya watu kwamba wao ndio wenyeji na wengine ni wageni, ukweli ni huu;
Hapa chuoni kuna historia nzuri sana ya nchi ya Zanzibar. Hakuna mtu mwenye asili ya Zanzibar; kuna Watwana na Mabwana.
Watwana ni watumwa kutoka Kongo wanaitwa Wamanyema na Mabwana ni waarabu kutoka Omani hao ndio wazanzibar, kwa maneno mengine zanzibar ni ya Wakongo, watumwa na waarabu wakoloni.
Siku moja nitaweka historia yote hapa. Nipo hapa ICC University Illinois, USA.
Kwa style hii Kiswahili hakitakua milele bali kiswanglish ndicho kitakua zaidi. Ni kweli Zanzibar kila mmoja ni mgeni pale hususani Unguja ambapo kuna wangazija wengi ambao Asili yao ni comoro na kuna wanamwezi wengi ambao asili yao ni Tabora kuna mchanganyiko wa makabila mengi kutokana na Utumwa wa kiaarabu kukusanya watumwa wengi kigoma na Tabora na mikoa mingine kuja nao hadi Bagamoyo wakaletwa Zanzibar huku wengine wakipelekwa sehemu zingine Duniani. Kuna waarabu wachache pemba ambao walitangulia kufika toka Oman na hawa ndiyo walitumika kusambaza Dini ya kiislam na me la na desturi za kiaraabu kwa watumwa wote waliotoka bara Congo, Burundi nk.
Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.
Pasco
Sasa hao si waganda.... Tunataka za wazanzbari na watanganyika... Weka Kama unazo.Hakuna watu wenye asili ya visiwa..wote huhamia kwenye visiwa kutoka maeneo yao ya asili.... hao watumbatu wako na wahadimu walikua wahamiaji tu kama walivyokuwa waarabu...labda hoja iwe nani kaanza kuhamia na sio eti fulani ni asili yake na sio fulani! .. hakuna kitu kama hicho visiwani!