pasco unanikumbusho yule Waziri wa elimu somebody Mulongo au MulugoKama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.
Pasco
Sio lazima uchangie kila thread hata kama hujui unachochangia!.paso unanikumbusho yule Waziri wa elimu somebody Mulongo au Mulugo
paso unanikumbusho yule Waziri wa elimu somebody Mulongo au Mulugo
Ndugu naomba niongee kwa kiswahili, nimemjibu pasco kutokana na kile alichoandika...!!! Usikurupuke...! Soma alichoandika PascoDON'T READ WITHOUT MEDITATING THE TOPIC AND START COMMENTING
YOU SHOULD GET THE IDEA OF THE WRITER FIRST AND THEN COMMENT.THE HEADING INASEMA WAZANZIBAR WOTE NI WAGENI
UNABISHA THEN UNAKUBALI KWANI UNAPOSEMA WANGAZIJA UNAMAANISHA SIYO WAGENI BALI NDIO WENYEJI WA ZANZABAR? JUST GO DEEPER AND DEEPER
Ndo maana nilikataa kupeleka mtoto hicho chuo [emoji2]Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.
Pasco
We jamaa mtata hapo mtu mzima ameng'amuaAsante kwa ushauri next time nikitaka kuchangia nitakuja kwako kwa ushauri na ruhusaView attachment 317134
Wahadimu unawajuwa wewe Pasco au umekuwa kasuku? Wewe unajuwa nini katika historia zaidi ya ukasuku wa waliondika misionari? Kama Fiji asili yake ni ya wakazi wakimbizi walowezi kutoka Rufiji je nayo iwe ni eneo ns mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?Kama bandiko la mtu wa chuo kikuu cha Ilinois ndio hili, basi kazi tunayo!. Kwa kukusaidia tuu hao Waarabu wa Omani walipokuja visiwa vya Zanzibar, waliwakuta wenyeji wa visiwa hivyo, Wahadimu, Watumbatu, Wangazija, na vikabila vingine vidogo vidogo. Hata hao watumwa hawakuwa wa kutoka Congo pekee!.
Pasco
Waarabu walikuwa hawajui kutawala huo ni ujinga wa mwisho. Nenda katika Library of Congress katizame uone katiba ya mwanzo duniani aliiandika nani? Na hata baadhi ya vifungu vyake vimeitumika katika katiba ya Marekani. Waaarabu wametawala Europe hasa Spain kwa muda wa zaidi ya miaka 500.Waarabu walikuja ktk visiwa vya zanzibar kibiashara tu na waliwakuta wenye ji ambao ni hao waliyotajwa. ...ndiyo Waarabu wakawa na mahusiano na wanawake wa kiafrika ndiyo wakazaliwa machotara!
Wakati ule Waarabu hawakuja kutawala walikuja kibiashara
Ovaaaa