Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

Wazanzibar acheni unafiki na ndumilakuwili

Wazanzibar wanafiki swala la uchaguz JPM anahusika swala la mafuta lakwao basi na uchaguz lakwao vile vile wamalizane wenyewe kwanza wakileta za kuleta umeme tutawakatia watumie wakwao kila mtu si nachake
Kwa fikra za Wazanzibari, vyao ni vyao lakini vyenu ni vyao!
 
Mbona kiongozi ametoa hoja ya maana ambayo inahitaji majibu ya kina yanayotakiwa kujibiwa kwa hoja badala ya mapovu na mihemumko?


Wewe hata kuandika tu ni majanga, utaweza kweli kuzipanua fikra zako ziwe katika 3D thinking?

Tatizo ni kwamba, inawezekana hufahamu kama hujui hata kuandika vizuri!

Sometimes you will never know the value of your ignorance and stupidity, until it becomes open secret!
bayo
 
Sijui strategy yao lakini nachojua kikatiba JWTZ lina wazenji kwahiyo sio jeshi la bara.
Sijui strategy yao lakini nachojua kikatiba JWTZ lina wazenji kwahiyo sio jeshi la bara.

Wile,
Inakubidi usome au ufanye utafiti lau kidogo ili uwe katika hali ya kufanya
mjadala.

Nimekupa mfano wa Wajerumani ili uwe mwerevu na kuelwa mchezo wa
siasa unavyochezwa.

Huwezi kuwatia Wazanzibari katika vikosi vinavyokwenda Zanzibar.
Utasababisha matatizo makubwa kwani damu ni nzito kuliko maji.

Fanya utafiti kwa kipindi cha chaguzi toka 1995 hadi 2015.

Ndiyo maana katika mapinduzi jeshi la kupigana Zanzibar lilitoka
Kipumbwi Tanga na wengi wao walikuwa Wamakonde kutoka mashamba
ya mkonge ya Sakura na Kipumbwi.

Soma kitabu cha Harith Ghassany: Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.
 
Msemakweli FEKI. wanzanzibari wakweli na wangwana. MIAKA HAMSINI NA ZAIDI YA UKANDAMIZAJI WANAJITAMBUA. WE ARE A PEOPLE.
 
We shall walk proud and tall Zanzibar shall not compromise to Tanganyika mediocrity.
 
Sijui strategy yao lakini nachojua kikatiba JWTZ lina wazenji kwahiyo sio jeshi la bara.
Eti jeshi lina wazenji kwa hiyo si la bara!!!muda haupo mbali wazanzibar watawaonesheni watanganyika kuwa wanajeshi ni kutoka tanganyika na hapo ndio mtaamini.
 
Wile,
Inakubidi usome au ufanye utafiti lau kidogo ili uwe katika hali ya kufanya
mjadala.

Nimekupa mfano wa Wajerumani ili uwe mwerevu na kuelwa mchezo wa
siasa unavyochezwa.

Huwezi kuwatia Wazanzibari katika vikosi vinavyokwenda Zanzibar.
Utasababisha matatizo makubwa kwani damu ni nzito kuliko maji.

Fanya utafiti kwa kipindi cha chaguzi toka 1995 hadi 2015.

Ndiyo maana katika mapinduzi jeshi la kupigana Zanzibar lilitoka
Kipumbwi Tanga na wengi wao walikuwa Wamakonde kutoka mashamba
ya mkonge ya Sakura na Kipumbwi.

Soma kitabu cha Harith Ghassany: Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.
Hili jeshi ni la muungano cha ajabu hakuna mzanzibar aliewahi kuwa mkuu wa majeshi ni watanganyika tuuu.
 
Zanzibar is special Zanzibar shall not not die mikononi wa salati governorship Tanganyika.
 
Unafiki na undumila kuwili kwa sasa umewaumbua. Mlificha magonjwa kwa unafiki na sasa kifo cha serikali ya umoja wa kitaifa kinawaumbua.

Mlimtumia Abubakar Khamis Bakary Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni kuwasilisha hoja binafsi kulitaka Baraza la Wawakilishi kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu kuanzishwa kwa Mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar lakini katika mlengo wa kutaka kujitenga na Tanzania Bara. Hoja hiyo, ilikubaliwa na Baraza la Wawakilishi na kupelekea kutungwa kwa Sheria ya Kura ya Maoni Nam 6, 2010.

Mliamua kujifungia kwenye vyumba vya siri bila kuwashirikisha wananchi wa Tanzania Bara na mkafikia makubaliano ya kinafiki ya kubadilisha katiba yenu kwenye Sura ya Kwanza, Sehemu ya Kwanza ambayo kwa sasa inasema, Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.

Mbaya zaidi, kwa kupitia katiba yenu ya kinafiki mkatuaminisha kinafiki kuwa Tume ya Uchaguzi kwa sasa ni huru na inayojitegemea katika kutekeleza majukumu yake kupitia Kifungu cha 119 (13) kwa sababu ina wajumbe WANNE waliopendekezwa na vyama vya CUF na CCM. Mjumbe MMOJA aliyependekezwa na Rais. Jaji MMOJA aliyependekezwa na Mahakama Kuu na pia Mwenyekiti aliyeteuliwa na Rais kwa kadri anavyoona inafaa.

Mkasema wazi katika kifungu cha 119(13) kuwa: “Hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume ya Uchaguzi katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba”.

Hamkuishia hapo, mkatuambia kupitia Kifungu cha 119(4), kuwa pindi Mjumbe wa Tume anapoteuliwa, hakuna mtu/kiongozi mwenye mamlaka ya kumuondoa au kumfukuza Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi mpaka atakapotimiza miaka mitano tokea kuteuliwa kama Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi.

Tume ya Uchaguzi mkaifanya kama Jini ndani ya chupa, kwa sasa limetoka na hamuwezi kulirudisha ndani ya chupa! Mmebaki kulaumiana kuhusu nani aliyelitoa jini kwenye chupa!

Mkatuambia mmechoka kufanyiwa maamuzi na watu wa Tanganyika na kuanzia sasa vyenu ni vyenu wakati wa raha lakini wakati wa shinda, vyenu ni vyetu. Tuliwaambia haiwezekani vyenu viwe ni vyenu pekee wakati wa raha lakini wakati wa shida, vyenu viwe vyetu.

Mkasema Watanzania Bara wanachochea mtengane lakini kwa sasa mmeamua kushikamana. Tuliwaambia hiyo ndoa yenu haitadumu lakini mkabisha. Yamefika wapi?

Unafiki na undumila kuwili kwa sasa unawatafuna!

Maji mliyavulia nguo mkiwa mmejifungia ndani ya chumba cha siri, hamna budi vile vile kuyaoga.

Ebwana wee yote hayo baada ya wazanzibari waliowengi Kuikataa CCM?
 
We shall sing songs of maalaka kamili uhuni wa Tanganyika ukiendekea vidi ya wanzanzibari. Nothing kupoteza zaidi ya minyororo ya Muungano Tata.
 
Sibonike,
Mambo si mepesi hivyo.
Bara wana majeshi ndani ya Zanzibar.

Wakitoa jeshi Zanzibar na kuwaacha Wazanzibari wamalize
matatizo yao wenyewe hutosikia lawama.

Wa kuchagua moja ni Bara.
Waingilie kuweka uwanja sawa au waondoe jeshi.
Unayo hoja ya msingi. Nadhani maadam ni Muungano, wote, bara na visiwani, yatupasa Kuchagua moja. Muungano au kila mmoja na mambo yake. Tubaki na ushirikiano wa kama nchi na nchi.
 
Unayo hoja ya msingi. Nadhani maadam ni Muungano, wote, bara na visiwani, yatupasa Kuchagua moja. Muungano au kila mmoja na mambo yake. Tubaki na ushirikiano wa kama nchi na nchi.
Sibonike,
Nataka nkuongozee haya ili uzidi kuelewa hali ya Zanzibar:

MAZOMBIE ''POLISI SHIRIKISHI'' WANAPOFANANA NA SS ASKARI WATESAJI WA ADOLF HITLER
Salma Said

5 hrs ·
Jeshi la Polisi Zanzibar limetoa onyo kali kwa madaktari wanaowahudumia watu wanaokwenda hospitali baada ya kupigwa na kikundi cha Mazombi bila ya kuwa na karatari ya PF3 kutoka Polisi. Onyo hilo limetolewa leo na Mkurugenzi wa Upelelezi Zanzibar, Salum Msangi wakati akizungumza na waandishi wa habari, Makamo Makuu ya jeshi hilo Kilimani Mkoa wa Mjini Magharibi. Pia limetoa onyo kwa watu wenye kusambaza vipeperushi na wenye kuwapigia X nyumba zao. aidha wananchi wamehakikishiwa kuwa uchaguzi utafanyika kwa usalama na amani kabisa na kupewa onyo kali ambao watahatarisha amani ya nchi. Picha hii ni Kamishna Hamdan kwa kuwa yeye ndio Boss na sio Salum Msangi.

12670258_1564621547162668_2816280455941648077_n.jpg



Mohamed Said SS askari watesaji wa Hitler walikuta kikundi cha Wayahudi katika kambi ya mateso na mauaji Auschwitz, Poland wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia, kinatoka kufanya kazi basi wakakiingilia kukipiga kwa magongo na vitako vya bunduki.

Wayahudi walikuwa hawawezi kujibu mashambulizi yale kwani kufanya hivyo mtu anapigwa risasi hapo hapo kwa hiyo hali ilikuwa heri nusu shari kupigwa ukabaki na uhai wako kuliko shari kamili kumkabili adui ukauliwa.

Baada ya kuwapiga kefu yao wale SS wakawauliza wale Wayahudi,''Mnajua kwa nini tunakupigeni?''

Wayahudi wakajibu kuwa hawakuwa wanajua. ‘’Tunakupigeni kwa sababu tunasikia raha kukupigeni.’’ Hili ndilo lilikuwa jibu la askari wa Hitler.

Zanzibar nchi ya Kiislam iliyokuwa inasifika kwa ustaarabu na uungwana na kitovu cha elimu ya Kiislam leo Zanzibar imekuwa nchi ya kishenzi...

Masultani walipokuwa wanatawala Zanzibae ushenzi huu ulikuwapo?

MASULTANI WALIPATAPO KUUA, KUWEKA JELA ZA MATESO NA KUFANYA DHULMA NYINGINEZO DHIDI YA WAZANZIBARI?

UBQ18yf53V2yfLUSMTuM_TTUlzLFkga6o_1CpVddOaYAV1c4jRXdsPRlC8WItBeQGqELj9nD6eWllWNgkDK4dMz58bG1D62g1z9UjPECmza3AAUxgbX89_nBm-ItvcDdpc0EkH32r1zvsQtjgIYV8soJrloEjE831CNQ04WBZsxD3XD4eR-tKqR5OMAX0WP5rDVMdxpINToxwmWaMwIYywQmbT6MX16ewoZLK2FKsQRpEf1gm2WE4RKBKcz4EpNASNJenTcF5XUcgB3h_jp4AcdkFrHQYApg_fA8oOv7CK7_iI_PGSjyfqQJmaROQgZPNYeHPDTRwGeJMfuLhyZbnBaYEhb86IYSzkzTHpH7GaqMiHN-RzIVwOdWKeZ_iCegP1qZrvaSntVrleOskS8xUC5eJ1rgpyyLJkRcp-7dA8R6sPj3tOkfRxgtvXAzOTLNMyPjUCxHc5xHOA2Bhw1TX5WjEIo_NYSXO7co8pXfGAcCw3P4ErVI7ZJPDFzMTweLQI-MtZohMQnV23ndFaMHPQCmAishm3KCSzxHlYqORKkoXSOKO2Sb0eomGWOQgBfLHSQxbw=w620-h643-no


COMPARE AND CONTRAST BETWEEN TON TON MACOUTE IN PAPA DOC's HAITI AND THE ZOMBIES IN ZANZIBAR
Introduction

Below is a cut and paste from Wikipedia.

Please compare and contrast between Ton Ton Macoute of Haiti and Zombies of Zanzibar.
You will surely come across very interesting similarities:

''After theJuly 1958 Haitian coup d'état attemptagainst PresidentFrançois Duvalier, he disbanded the army and all law enforcement agencies in Haiti and executed numerous officers.[citation needed]He created a paramilitary force in 1959,Milice de Volontaires de la Sécurité Nationale(Militia of National Security Volunteers or MVSN), two years after he became president, that answered only to him. He perceived a threat to his regime from the regular armed forces.
Duvalier authorized theTontons Macoutesto commit systematic violence andhuman rightsabuses to suppress political opposition. They were responsible for unknown numbers of murders andrapes in Haiti. Political opponents often disappeared overnight, or were sometimes attacked in broad daylight.Tontons Macoutesstoned and burned people alive. Many times they put the corpses of their victims on display, often hung in trees for everyone to see and take as warnings against opposition. Family members who tried to remove the bodies for proper burial often disappeared themselves. Anyone who challenged the MVSN risked assassination. Their unrestrainedstate terrorismwas accompanied by corruption, extortion and personal aggrandizement among the leadership.The victims ofTontons Macoutescould range from a woman in the poorest of neighborhoods who had previously supported an opposing politician to a businessman who refused comply with extortion threats (ostensibly as donations for public works, but which were in fact the source of profit for corrupt officials and even President Duvalier). TheTontons Macoutesmurdered between 30,000 and 60,000 Haitians.[9]
Luckner Cambronneled theTonton Macoutethroughout the 1960s and the beginning of the 1970s. His cruelty earned him the nickname "Vampire of the Caribbean". He profited by extortion carried out by his followers. In 1971, President Duvalier died and his widowSimone, and sonBaby Doc Duvalierordered Cambronne into exile. Cambronne moved toMiami, Floridawhere he lived until his death in 2006.[10]

Some of the most important members of theTonton Macoutewerevodouleaders. This religious affiliation gave theMacoutesa kind of unearthly authority in the eyes of the public. From their methods to their choice of clothes, vodou always played an important role in their actions. TheTontons Macouteswore straw hats, bluedenimshirts and dark glasses, and were armed withmachetesand guns. Both their allusions to the supernatural and their physical presentations were used with the intention of instilling fear and respect.''[7][11][12]
This cut and past from FB is really incriminating:

‎Makame J. Mdungi‎toAmnesty International USA
December 13, 2015 ·

ZANZIBAR, UNITED REPUBLIC OF TANZANIA (12/12/2015)
Last night masked men known as "zombies " who are CCM zealots destroyed a CUF baraza at Michenzani, ZANZIBAR.
These groups of masked men have been terrorizing Zanzibar Town with impunity since election process started back in September. Their activities have been reported to the Zanzibar Police headquarter on several occasions but the police have chosen to turn a blind eye.
These terrorist groups have been practicing terrorist actions of killing civilians, rape, beating, injuring and many forms of harassment. These are done to the opposition supporters (CUF members). The government is silent about these.
It's believed that these culprits are being protected by police as they themselves are members of the Zanzibar government special forces. It's also believed that the zombies are directly reporting to Balozi Seif Ali Iddi (second vice president of Zanzibar) and Haji Omar Kheri (special forces minister).
 
Uzuri ni kuwa wabara walioko Z'bar ni wachache na hawana cha maana huko. Ila wazanzibari na wapemba wamejazana bara na kukazana kuwaoa watoto wetu.
Natamani iwe kama sudani kusini kipindi cha kujitenga na kaskazini. Kila mtu arudi kwao kikamilifu. Kuja huku iwe ngumu kuliko kwenda Kenya. Chakula kwa dola maana sarafu ya bara haitatumika zanzibar.
Umeme dola. Mpaka viazi vya chips.
Japo nafahamu mkimaliza mtawageukia wazanzibari wenye asili ya bara kuwa na wao sio wazanzibari.
Hata ukiangalia michango humu toka visiwani imejikita kivyama ambavyo navyo viko kulingana na asili yenu.
Kazi mnayo kwa kweli.
 
Unayo hoja ya msingi. Nadhani maadam ni Muungano, wote, bara na visiwani, yatupasa Kuchagua moja. Muungano au kila mmoja na mambo yake. Tubaki na ushirikiano wa kama nchi na nchi.
Visiwa vyote bahari ya indi vinasitawi kiuchumi. Muungano is a dead weight umedhofisha Zanzibar.
 
Back
Top Bottom