Wazamiaji wa miaka ya 90

Nimesikia cases nyingi za mabaharia kufake wakaingia Belgium, halafu wakaishia kupelekw kwenye sehemu wanakoishi gays later wanajikuta wanapakatwa kweli
 
Dah, yaani mkuu nijifanye shoga kisa kwenda ulaya? Mashamba yapo kibao morogoro aisee..
 
Dah, yaani mkuu nijifanye shoga kisa kwenda ulaya? Mashamba yapo kibao morogoro aisee..
Kwani mkuu hujawahi kusikia kuna vijana kibao wanaolewa huko ulaya ? watu wana fake gender,, sasa mbaya pale unapojiunga kwenye chama cha ushoga kuna dume limekupenda,,,linajitolea kukugharamia,,ndy hapo vijana wenye tamaa wanapopekechuliwa..
 
Na Holland...hata France ndy saana
Nimesikia cases nyingi za mabaharia kufake wakaingia Belgium, halafu wakaishia kupelekw kwenye sehemu wanakoishi gays later wanajikuta wanapakatwa kweli
 
naunga mkono kabisa huwez kunishawish eti wale walibya weupe kwamba n waafrika hakunagaaa yaan mm ule ukanda wooteee wa akina algeria, libya,tunisia n.k cjawahi kuamin kama n waafrika wenzetyu. Rangi yyte nyeupe haijawah kumpenda mwafrika mweusi.
 
Juzi hapa walikuwa wanamtongoza mdogo wangu kule, (mwanamke anamtongoza mwanamke mwenzie) ikabidi amwambie MI nna hubby wangu,
Yan anasema kule wamejaa haswa mashoga na wasagaji
 
Haaaaa Haaaaa, uwe na hela ya maana umtafute black kule mfunge ndoa huku then akualike kule kama mke wake,
Baadaye mapeana divorce,. Maisha yanaendelea.
Kule kazi zipo sana, hela inaingia vizuri maana Unaweza fanya kazi mbili tofauti
bongo ukifanya ajira mbili tofauti unakamatwa na takukukuru km wale malecturer walokamatwa juz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bongo nyoooosoooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mzee ukifake kwamba ww ni gay wakakutafutia patner vp utatoa tigo au inakuwaje hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mara 100 nbaki bongo asee
 
Ni mambo ya wazungu tu mkuu ndy yamefanya Tunisia,, Egypt nk kuwa Africa.,,mfano Morocco ni karibu sana na Spain..na Libya ipo jirani na Italy..na hata zamani kuna mfalme Fulani wa Morocco aliwahi tawala Morocco hadi Spain at the same time..nadhani walipogawa mabara. Ndy wakatuunganisha humo..jamaa wabaguzi sana,,kuna siku nipo sehemu Fulani ya dunia nilikuwa na rafiki yng mmoja yeye ni mfaransa Morocco,,ana uraia wa ufaransa,,basi jamaa raia wa Libya na Algeria na wamoroco wenzie walimfata na kumuuliza kwanini yupo na sisi weusi? duu..jamaa akatwambiya,,wale jamaa wanaleta ubaguzi...sisi Morocco pia wapo watu weusi lakini hatubagui...
naunga mkono kabisa huwez kunishawish eti wale walibya weupe kwamba n waafrika hakunagaaa yaan mm ule ukanda wooteee wa akina algeria, libya,tunisia n.k cjawahi kuamin kama n waafrika wenzetyu. Rangi yyte nyeupe haijawah kumpenda mwafrika mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…