Wazamiaji wa miaka ya 90

So ykiwa commor ndio ufanye applications ya visa kuingia Mayyote? Qu unazamia kinyemela?
Comoro hatuingii na viza..
Kutoka pale ndy utahitaji ufanye sarakasi za kuingia mayote.

Kuna watu wana michongo hiyo pale.
 
Wazamiaji wa miaka 90 hawakupata shida kama wa miaka 76 mpaka 80 kwani wengi wao walipitia Sudan kuitafu Morocco to Spain ilikuwa si mchezo.
Mtihani ulikuwa kukatiza Sudan tuu huko kwingine ni kulikuwa kwepesi
 
Mambele Safi sana manjonjo kama yote hata ukiuwawa unafurahia kaburini mizungu inascream kitaa "black lives matter"

Hapa usengeni misala kama yote, ukikosa ukimwi basi utalogwa, ajira hakuna, no mitaji, depression kama zote!

What the fu.ck!
Ulipngea kwa uchungu sana.. NAJUA upo safarini kwa sasa
 
Life is plenty unfair. Mi najiuliza kesho vocha naitolea wapi 😂 nipeni exposure mdogo enu
 
Mnataja sana wanasiasa katika kuhalalisha mawazo yenu finyu

Kwani mwanasiasa ana mchango gani katika kufaulu au kufeli kwako?

Ukweli ni kwamba kuzamia nchi za watu ni upumbavu
 
Mnataja sana wanasiasa katika kuhalalisha mawazo yenu finyu

Kwani mwanasiasa ana mchango gani katika kufaulu au kufeli kwako?

Ukweli ni kwamba kuzamia nchi za watu ni upumbavu
Ni upumbavu kivipi?
 
Ni upumbavu kivipi?
Sijafika nchi za watu lakini kwa stori nazosikia ukiwa timamu bora ubaki huku
Bahati mbaya waliofika hawasemi magumu ya huko na wakisema matomaso hawaamini
Imagine unafika hatua unakwama kurudi huku unaona aibu option inayobaki ni uolewe, ufirwe ili ubaki ulaya
 
Kama hujui maisha ya ulaya na marekani yana stress na depression za hali ya juu, stress za bongo zikasome
Kuna visa vingi vya suicidal nchi za wazungu, kuna visa vingi vya waliodata kufanya mauaji makubwa, kwa wenzetu elimu ya saikolojia ina umuhimu kuliko mainjinia sababu hali ni mbaya

Walioshiba ugali wa bongo hawawezi kuelewa
Wanakosa exposure
Mbele natamani kwenda lakini sio kuishi wala kusaka maisha labda niende kutembea
 
Ukija states nitafuta
 
Kwa hiyo story ulizosikia zimekujaza hofu...?

Mtu yyte mwenye mipango yakusaka maisha nje ya Tz na aende tu!
Changamoto na Mafanikio ni moja wapo ya mchakato mtu kutikia malengo yake..

Leo hii wachina wana vuka bara ..lao kuja huku na biashara wanayoifanya ni yale madudue ya kamali wanayaocheza vijana uswahilini..

So kama kuna kijana anawaza kusaka life nje na kaona fursa kwanini asitoke?
 
Tatizo mkuu unazungumza kama mtu aliyeishi/anaishi huko.!

Ndugu, changamoto za maisha, utakutana nazo popote pale dunia.. Mbona watu wengi wapo hapahapa Tanzania na wakikusimulia changamoto wanazopitia iwe za kibiashara, ajira, afya.. wewe mwenyewe utashika tama..

Suala la kwenda kutafuta life nje ya mkoa uliozaliwa au nchi... inategemeana na comfort zone ya mtu husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…