Wazamiaji wa miaka ya 90

Nimekwambia rafiki yangu ni miaka hiyo ya 90 ndo kwanza nilikuwa nimeanza shule
Hahaaaaa hii miaka vijana wa enzi hizo kuanzia Magomeni,Kagera ,Manzese na Sinza walizamia sana hizo nchi wengine walitusua kimaisha wengine wakaishia kuwa mateja na wengine waliofanikiwa kufika Ulaya wakajifanya wakimbizi wa kisiasa zanzibar wakatusua hivyohivyo ila uzamiaji wa kihistoria ulikuwa enzi hizo sasa hivi tii sheria bila shuruti
 
Mwandende nimekubali hii comment maana hii ndo huwa slogan yangu . Ndugu ntawakuta hukohuko ninakoenda . Kulala nje siku kadhaa hakunitishi as long as sio milele Wala hakuniui
 
Mwandende nimekubali hii comment maana hii ndo huwa slogan yangu . Ndugu ntawakuta hukohuko ninakoenda . Kulala nje siku kadhaa hakunitishi as long as sio milele Wala hakuniui
Sana mkuu,,,,mawazo ya ulaya hayawezi kuwa sawa kama mawazo ukiwa hapa bongo...mbele kwa mbele Baharia.... Passport ndy mpango mzima,,,,
 
Hatimae nimemaliza kupitia comments zote na kujifunza mengi, asante nyingi zimueendee muanzisha huu uzi.
 
Gay Maana yake ni yule anayefanya mapenzi na jinsia moja so haijalishi anafanya au anafanywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo hata mwanamke kwa mwanamke pia ni gay?au lesbian...
Gayism n Ushoga - unahusu mapenzi ya jinsia 1 ya kiume,
Lesbianism n Usagaji - unahusu mapenzi ya jinsia 1 ya kike.
 
Gayism n Ushoga - unahusu ms
apenzi ya jinsia 1 ya kiume,
Lesbianism n Usagaji - unahusu mapenzi ya jinsia 1 ya kike.
Sasa niliposema gay ni anayeliwa dume,,au anayekula dume nilikosea wp?
 
Kwahyo hata mwanamke kwa mwanamke pia ni gay?au lesbian...
Wanageneralize na kuita gays wote. Either awe mwanaume au mwanamke.
Though tumezoea kurefer kuwa gays ni wanaume kwa wanaume na lesbians ni wanawake kwa wanawake.
Kwahiyo sehemu nyingine unaweza kuona watu wanawaita wanawake wanaofanya mapenzi ya jinsia moja gays.
 
Oky ngoja nitimbe pande hizo. Miezi gani ya summer kule maana sitaki kwenda kipindi cha winter nikatubu
Kuanzia mwezi wa tatu..baridi inaanza kupunguwa,,hadi mwezi wa sita ndy summer imechangaya sana,,na kuisha mwezi wa 9,,,mwezi wa kumi, summer anaanza kupoteza,,,kuanzia kumi na moja baridi inaanza tena kushika kasi,,December ndy hadi barafu baadhi ya inchi sasa,,,na kadiri inavyozidi miezi ndy inakuwa juu,,halafu inaanza kupunguwa kuanzia mwezi wa tatu.
 
Oky fresh nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…