Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

Wabongo acheni unafiki,viongozi wenu wenyewe wanashindana kuwapiga vikodi vyenu halafu bado mnaleta ulokole! Reports za CAG huwa hamfuatilii madudu yake?

Kama nafasi inaruhusu wewe manipulate mifumo kama Bwa'mdogo!

Ndiyo urefu wa kamba yake huo!
 
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
Mhujumu uchumi wa TRC kwenye moja na mbili 😂.

By the way mimi ni moja ya maTT ahsante kwa kufikisha ujumbe round hii tutakuwa na wewe benet tutadai kuona ticket mpaka chooni
 
Basi
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
sawa ila kuanzia Leo ushawapa taarifa Usijaribu tena huu mchezo
 
Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dom na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni mpaka aondoke.
**behewa za Business class huwa hazijai.
ARAAAAA,NIMEBAINI HIRI SASA NITANGOJA MTOKE VYOONI.(Huu ni ujambazi tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…