Wazalishaji wa mayai ya kuku chotara na kuku wa kienyeji,Uza mayai yako kwetu.

Mtajuaje mayai yanafaa kutotolesha i.e. kuku alikuwa na Jogoo???
 
Mtajuaje mayai yanafaa kutotolesha i.e. kuku alikuwa na Jogoo???
very genuine concern ..... majibu Tafadhali?

la msingi ni kuingia makubaliano na wafugaji halafu kuwamonitor uzalishaji wao wa Mayai ambayo ni fertile kwa ajili ya kutotolesha .... hii ni kuzingatia ulishaji wa chakula bora, uthibiti wa magonjwa, ratio ya majogoo kwa mitetea, utunzaji wa Mayai n.k
 
Katika watu ambao MTU hatakiwi kuthubutu kununua vifaranga kwao ni ninyi, mnaomba mayai toka popote, msikojua historia ili mradi MTU amekuja anadai ana chotara, chotara gani hamjui, anafugaje hamjui, na kesho mtatutangazia MNA vifaranga bora vya chotara, na mtavipa majina tena mazuri tu!
Mtatutangazia mnao sasso, kroiller, Rhode island red, n.k
 
Inaonekana mna pesa za kuchezea, Hahaa yaani katika hii biashara usitegemee mayai ya kununua mtalia na mtafunga biashara.

Tengenenezen Parebts wenu acheni uvivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…