Mimi nikiona mtu ameamua kwenda kupambana na Simba huku ameshikilia bakora akiamini kuwa watatokewa watu wengine walioshikia bakora ili waje wamsaidie wa muue Simba naona anaupungufu wa maarifa au niseme; pengine amechoka kuishi huku duniani
Kupambana na simba kunatakiwa mikakati ya kueleweka au pengine; kajifunze kwa wamasai wanavyofanya.....
Chukua hii comment yakitokea maandamano yanaweza kuja kua makubwa zaidi ya October 29 rudia kusoma hii comment punguza kujilisha upepo kwamba haiwezekani kwa sasa inawezekana sana
Wewe unajulikana kuwa ni keyboard warrior, mbawahamasisha mabwege, wanawaamini kisha wanachezea risasi na nyie mnabaki tu kudai miili yao kwenye mtandao
Wazee tumeshaanza kupiga jalamba. Maandamano yatakuwa ya amani ya kuitoa CCM madarakani kwa amani . Lakini wakitaka kutumia nguvu kuzuia maandamano basi tutatumia nguvu na sisi.