Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia

Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni na toa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
nonsense 🐒
 
Kwani maandamano ni dhambi? Hayakubaliki kwenye "kajikitabu" Katiba yenu?
 
Kwani hata sasa wanaofaidika si ni wanasiasa? Ama wakifaidika wanasiasa wa ccm kwako sio tatizo?
 
Ahaaa ahaaa ahaaaaa ahaaaaaaa yaaani bado Tanzania bado kuna watu wanawaza ujinga wa kuandamana ? aiseee nawaonea huruma sana maana vichwa vitapasuka zaidi kuliko 29th October
 
yangekuwa ya amani sawa lakini wahuni wanakuwa majambazi
 
Wazalendo wenzangu jamani 7/7 imekaribia. Tuko tayari kwa maandamano. Ni na toa onyo kwa wale wanataka kuleta hofu. Lazima tuikomboe nchi yetu.
Mtaikomboa kwenye mtandao tu ila ule ujinga wa 29/10 haurudii tena.
 
Hata Kodi ulipi alafu unachongoa mdomo eti nchi yetu, we una nchi!!? Andamana tukuvunje kibofu chako iko.
Mtaua wengi na kuvunja hivyo vibofu vya watu ila hakika nanyi moto wa jehanamu unawasubiri. Nanyi pia kuzimu ya mateso ndio utakuwa makao yenu milele
 
Safari hii tunaandamana kwa amani ila sio kinyonge. Sasa wewe jidanganye1 Ni bora uwe sehemu ya mabadiliko utaishi salama kwa amani baada ya ukombozi
Umekaa huko kazi kuhamasisha tu, watoto wa wenzenu wanakufa nyinyi mnaendelea kuishi na familia zenu
 
Ahaaa ahaaa ahaaaaa ahaaaaaaa yaaani bado Tanzania bado kuna watu wanawaza ujinga wa kuandamana ? aiseee nawaonea huruma sana maana vichwa vitapasuka zaidi kuliko 29th October
Hawana ubavu wa kurudia Yale tena...hawawezi
Imewagharumu pakubwa pande zote.
Kwa Sasa upande mmoja ukiwa na ujasiri Kuna uwezekano wa kushinda.
 
Safari hii madogo wamejizatiti, hawataanzisha vurugu yoyote na watalindana wasiharibu mali za watu ila wakichokozwa watajibu kwa nguvu maradufu.
 
Tuikomboe nchi yetu, tarehe 7/7 tusipouze. Mimi ni lazima nitoke pamoja na kuwa na umri mrefu 60+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…