Rayyan haris
Member
- Jul 26, 2026
- 11
- 22
Chlamydia, kama sijakosea wa bongo wanuuita pangusaUgonjwa unao umaliza uume ni upi? Kuna kaka angu aliwahi umwa huo, kichwa cha uboo kilikua kinalika, alipoona kinazidi ilibidi aweke wazi.
Duuuh. Ni upi huo?
Gonorrhea(kaswende)Ugonjwa unao umaliza uume ni upi? Kuna kaka angu aliwahi umwa huo, kichwa cha uboo kilikua kinalika, alipoona kinazidi ilibidi aweke wazi.
Duuuh. Ni upi huo?
kweli ni yeyeWatakuja kuseme huyo jamaa yako ni wewe,
Nimesema watakuja kusema,
Nadhani mpaka hapa nimeeleweka ndugu wananchi sio?
Ulijuaje hayo?Ni aibu kutembea na shuka maana nguo hazivaliki hiko ki fimbo chake hakitaki kuguswa na nguo la sivyo kinanata kuivuta hyo nguo mtiti...
Acheni umalaya
Msela anasaidia kwenye katika suala la kuwasanua wazinzi mnasema ni yeye mwenyewe 😂kweli ni yeye
Epuka kulalwa bila life jacketUgonjwa unao umaliza uume ni upi? Kuna kaka angu aliwahi umwa huo, kichwa cha uboo kilikua kinalika, alipoona kinazidi ilibidi aweke wazi.
Duuuh. Ni upi huo?
Ugonjwa unao umaliza uume ni upi? Kuna kaka angu aliwahi umwa huo, kichwa cha uboo kilikua kinalika, alipoona kinazidi ilibidi aweke wazi.
Duuuh. Ni upi huo?
Weka picha wagonokaji waoneUnaitwa PANGUSA.
Ukiipata hii unakimbilia hospital mwenyewe tuu, unahis mkojo muda wote, ukikojoa hata tone tuu pipe inauma alafu unavuja usaha muda wote. Kuna nini tena hapoGono sio poa mkali, dawa yake huwa ni kuwahi kliniki, usikubali jua lizame hujaanza dozi. 😊
Huo ugonjwa hata uvse condom kumi kwa mpigo unaupata kama anaoChlamydia, kama sijakosea wa bongo wanuuita pangusa
Saikolojia ya maandishi na namna alivyoandika. Usijali nimejuaje ni kitu nina utaalamu nacho.Msela anasaidia kwenye katika suala la kuwasanua wazinzi mnasema ni yeye mwenyewe 😂
Kwani kosa lake ni nini kuanzisha huu uzi au kujifanya kuwa rafiki yake ni yeye?
Ni kweli Kabisa.Vitu vitatu ambavyo mwanaume inabidi uvi-control wewe na sio viku-control vyenyewe;
1. Uume
2. Hasira
3. Mdomo
Kuna watu wengi sana wamepoteza kila kitu kisa tu kuvamia kila siketi inayopita mbele yao.
Hilo lidudu dudu lako hilo ndio mchawi mwenyewe na sio kingine.
PangusaUgonjwa unao umaliza uume ni upi? Kuna kaka angu aliwahi umwa huo, kichwa cha uboo kilikua kinalika, alipoona kinazidi ilibidi aweke wazi.
Duuuh. Ni upi huo?
Ni nini kinatokea kwenye ubongo wake au ni jambo gani linamsibu haswa kichwani mpaka anaamua kusingizia ni rafiki yake na sio yeye?Saikolojia ya maandishi na namna alivyoandika. Usijali nimejuaje ni kitu nina utaalamu nacho.
Ni course inaItwa CRITICAL DISCOURSE ANALYSIS CDA
Ukiipata hii unakimbilia hospital mwenyewe tuu, unahis mkojo muda wote, ukikojoa hata tone tuu pipe inauma alafu unavuja usaha muda wote. Kuna nini tena hapo
Pole sana kwake mkuu. Bahati mbaya wakati huo dawa za gono zilikuwa adimu sana.2010 kuna jamaa yangu alipataga Gono alikua akikojoa analia kama mtoto mdogo huku amejishika na ukuta akawa anasema anakojoa viwembe😆
Achana nae huyo mwache aendelee kuamini hivyo hivyoNi nini kinatokea kwenye ubongo wake au ni jambo gani linamsibu haswa kichwani mpaka anaamua kusingizia ni rafiki yake na sio yeye?
Istoshe humu ID nyingi huwa Anonymous mkuu..
Unaweza kunielezea na hapa?
Sababu ya kwanza mtu aliyepatwa na tukio au aliyefanyiwa kitu kibaya na mwingine, mtendewa ndiye hukumbuka tukio kuliko mtenda. Maandishi ni hisia kutoka kwenye ubongo wa mtu.Ni nini kinatokea kwenye ubongo wake au ni jambo gani linamsibu haswa kichwani mpaka anaamua kusingizia ni rafiki yake na sio yeye?
Istoshe humu ID nyingi huwa Anonymous mkuu..
Unaweza kunielezea na hapa?
Unakabiliana vipi na sumu za ricinine Kuna watu wataenda kutumia bila proper dosageGono ni cha mtoto maana unaweza chemsha mizizi ya mnyonyo ukanywa kwa siku2 ukapona kuna kitu inaitwa pangusa(chlamydia) inakula pumbu so poa
Hamna sumu hapo chemsha mizizi kunywa glass1 kwa siku2-3 sumu itatoka kwa excretion wala hakuna tizoUnakabiliana vipi na sumu za ricinine Kuna watu wataenda kutumia bila proper dosage