Wayback: Gono ni hatari sana

Kumbuka sijui form two au form one....
Tulifundishwa kuhusu hayo magonjwa tukaonyeshwa na picha......
jioni yake tukaletewa movie kuonyeshwa magonjwa ya zinaaa!!!!!

Bwana eee wikiend yake si kukawa na disco boys wakaletwa na wao kumbe walionyeshwa ili movie jinsi kibolo kilivyoisha.
Yaani lile disco lilichezwa kwa amani na hakukuwa na ulinzi wa kukagua walana denda wapigana romance wala miti.
 
Kama tumesoma shule moja vile πŸ˜…πŸ˜…
 
😁😁😁
 
πŸ˜€πŸ˜€Uume ungekuwa tu 1 to 3 then zifuatie nyinginezo
 
Ukienda kizembe manesi wakali wanataka umlete ulieshiriki nae. Kwasababu kwa wanawake linajificha sana.

Kuna namna mkuu, ukipata gono usiende OPD kuandika cheti. Kila hospitali huwa kuna dokta wa mambo hayo, we omba kuonana na dokta husika. Mchape hata ki fotee, yeye atajua namna ya kuwapoza manesi na mtu wa dawa, basi kunakuwa hamna kelele.

Ukienda kichwa kichwa na gono lako kliniki unaaibishwa mzee... 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…