Way forward 2018-2020

Way forward 2018-2020

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,725
Reaction score
830,789
Seasonal migration kwenye ulingo wa siasa imeanza... Moja inafanyika kwa hiari na uamuzi binafsi nyingine ni nguvu ya shekeli na ahadi ya kazi na madaraka

Hongera Nyalandu Kwa kumchapa kofi yule mjamaa.. It was a very calculated timing....! Umefanya kusudi ili upime ubavu kati ya tukio lake na lako lipi litafunika... Lipi litapata kiki... siasa bhana.....!!!

CCM imepata pigo lingine jana.. Pigo kubwa... Ile hotuba imewasononesha wengi, kwamba wale wakazi 3000 waliovamia maeneo sensitive ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi pamoja uwanja wa ndege wasibomolewe nyumba zao kwakuwa MWANZA ndio walimpa kura..

Kuna watu wamepata kinga ya kutochukuliwa hatua za kisheria kwakuwa tu walimpa mkulu kura... Poleni ccm... Kiza kimetanda ndani ya chama... Na hakuna mwenye nyongo ya kuongea tena! Mwigulu na Kinana wanajua vema
Mchoko na kukata tamaa sasa ni dhahiri shahiri ndani ya chama dume na wenye kujitambua wameanza kuchukua hatua mapema....

Kujitenga na giza. Ukiachana na kizungumkuti cha uchaguzi 2020 kama utakuwepo ama la., lakini ccm itapukutika wanachama wake mahiri kuelekea 2020 na hawatakuwa na kimbilio lingine zaidi ya CHADEMA japo na mapandikizi yatakuwepo

Kuna tofauti kubwa ya mapenzi ya kweli hata kama mtu alikuwa changu na mapenzi ya pesa hata kama mtu alikuwa mlokole... CHADEMA itashutumiwa sana kupokea mafisadi, kupokea watuhumiwa wa kashfa mbalimbali, kupokea wachafu wa ccm... Lakini najua hawatayumba kwakuwa ufalme umefitinika....
 
Mshana nakuelewa Sana lakini Kati ya vitu ambavyo vinanipa shida Ni pamoja na kuamini kuwa mwiguli kabanwa na atakimbilia upinzani..kati ya watu ambao najua nje ya ccm hawawezi Ku survive Ni mwigulu..na aitoka ccm atakua mnafiki kuliko polepole
 
Hizi ramli za kusema CCM inapukutika mlizipiga mwaka 2015 naona mmeanza tena kuzipiga kuelekea mwaka 2020.

Mtu asiyeifahamu CCM vizuri anaweza kujifariji kutokana na ujinga wake.

Wapembuzi wa masuala ya kisiasa wanafahamu CCM ya mwaka 2020 itakuwa imara zaidi ya ile ya mwaka 20215.

CCM ni zaidi ya chama cha siasa na nikisema zaidi ya chama cha siasa katika siasa za Afrika watakaojua maana yake ni wale wanaojua maana ya chama dola.

Endeleeni kujifariji!
 
Yule upinzani NEVER kaufanyia rough nyingi hasa CHADEMA labda aunde chake

Jr
 
Seasonal migration kwenye ulingo wa siasa imeanza... Moja inafanyika kwa hiari na uamuzi binafsi nyingine ni nguvu ya shekeli na ahadi ya kazi na madaraka

Hongera Nyalandu Kwa kumchapa kofi yule mjamaa.. It was a very calculated timing....! Umefanya kusudi ili upime ubavu kati ya tukio lake na lako lipi litafunika... Lipi litapata kiki... siasa bhana.....!!!

CCM imepata pigo lingine jana.. Pigo kubwa... Ile hotuba imewasononesha wengi, kwamba wale wakazi 3000 waliovamia maeneo sensitive ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi pamoja uwanja wa ndege wasibomolewe nyumba zao kwakuwa MWANZA ndio walimpa kura..
Kuna watu wamepata kinga ya kutochukuliwa hatua za kisheria kwakuwa tu walimpa mkulu kura... Poleni ccm... Kiza kimetanda ndani ya chama... Na hakuna mwenye nyongo ya kuongea tena! Mwigulu na Kinana wanajua vema
Mchoko na kukata tamaa sasa ni dhahiri shahiri ndani ya chama dume na wenye kujitambua wameanza kuchukua hatua mapema.... Kujitenga na giza
Ukiachana na kizungumkuti cha uchaguzi 2020 kama utakuwepo ama la., lakini ccm itapukutika wanachama wake mahiri kuelekea 2020 na hawatakuwa na kimbilio lingine zaidi ya CHADEMA japo na mapandikizi yatakuwepo
Kuna tofauti kubwa ya mapenzi ya kweli hata kama mtu alikuwa changu na mapenzi ya pesa hata kama mtu alikuwa mlokole... CHADEMA itashutumiwa sana kupokea mafisadi, kupokea watuhumiwa wa kashfa mbalimbali, kupokea wachafu wa ccm... Lakini najua hawatayumba kwakuwa ufalme umefitinika....

Endeleeni na ufitini, sie twaendelea na maendeleo.
 
Hizi ramli za kusema CCM inapukutika mlizipiga mwaka 2015 naona mmeanza tena kuzipiga kuelekea mwaka 2020.

Mtu asiyeifahamu CCM vizuri anaweza kujifariji kutokana na ujinga wake.

Wapembuzi wa masuala ya kisiasa wanafahamu CCM ya mwaka 2020 itakuwa imara zaidi ya ile ya mwaka 20215.

CCM ni zaidi ya chama cha siasa na nikisema zaidi ya chama cha siasa katika siasa za Afrika watakaojua maana yake ni wale wanaojua maana ya chama dola.

Endeleeni kujifariji!
Hapana tuwe wakweli ccm ya sasa ni imara kweli? Hapana kabisa, imeendelea kuwa majeruhi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Seasonal migration kwenye ulingo wa siasa imeanza... Moja inafanyika kwa hiari na uamuzi binafsi nyingine ni nguvu ya shekeli na ahadi ya kazi na madaraka

Hongera Nyalandu Kwa kumchapa kofi yule mjamaa.. It was a very calculated timing....! Umefanya kusudi ili upime ubavu kati ya tukio lake na lako lipi litafunika... Lipi litapata kiki... siasa bhana.....!!!

CCM imepata pigo lingine jana.. Pigo kubwa... Ile hotuba imewasononesha wengi, kwamba wale wakazi 3000 waliovamia maeneo sensitive ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi pamoja uwanja wa ndege wasibomolewe nyumba zao kwakuwa MWANZA ndio walimpa kura..
Kuna watu wamepata kinga ya kutochukuliwa hatua za kisheria kwakuwa tu walimpa mkulu kura... Poleni ccm... Kiza kimetanda ndani ya chama... Na hakuna mwenye nyongo ya kuongea tena! Mwigulu na Kinana wanajua vema
Mchoko na kukata tamaa sasa ni dhahiri shahiri ndani ya chama dume na wenye kujitambua wameanza kuchukua hatua mapema.... Kujitenga na giza
Ukiachana na kizungumkuti cha uchaguzi 2020 kama utakuwepo ama la., lakini ccm itapukutika wanachama wake mahiri kuelekea 2020 na hawatakuwa na kimbilio lingine zaidi ya CHADEMA japo na mapandikizi yatakuwepo
Kuna tofauti kubwa ya mapenzi ya kweli hata kama mtu alikuwa changu na mapenzi ya pesa hata kama mtu alikuwa mlokole... CHADEMA itashutumiwa sana kupokea mafisadi, kupokea watuhumiwa wa kashfa mbalimbali, kupokea wachafu wa ccm... Lakini najua hawatayumba kwakuwa ufalme umefitinika....
Points & facts
 
True kwa waona mbali wameliona hilo ,kilikosakosa kufa 2015 kwa msaada wa bao la mkono, na sera za mgombea,sasa sera hazitekelezeki muda nao unakimbia tunangoja marejesho ya Sera za 2015,Anaeweza sapoti chama chakavu lazima awe mnufaika.
 
2020 inaweza ikawa zamu ya mgawa namba kuisoma na yeye pia what's comes around goes around, hata km akipita sababu ya katiba atokuwa na wabunge wengi maana wale wanaomuimbia nyimbo asizozipenda lazima majina hayatorudi,watalazimisha kuweka watu wao waimbao nyimbo za sifa,ambao wakija kwa wapiga kura watakatwa pia.Sababu wachaguzi ni wananchi ndo wenye maamuzi.
 
Mimi hili swala la Magufuli kuipendelea Mwanza linaniuma sana..
Endelea kuumia, utaelewa baadaye Mwanza ni zaidi ya maumivu. Ni kitovu cha uchumi tangu enzi ya wagerumani . Pamba, Samaki, Ng'ombe, Madini, etc vyote vinatoka Kanda ya Ziwa . Achia population kubwa ya nchi inatoka Kanda ya ziwa. Utulivu na Amani ya nchi inatoka Kanda ya Ziwa, na mwisho baba wa mji anatoka Kanda ya Ziwa. Unaumia nini sasa?
 
Back
Top Bottom