Way back, Mapokezi ya Bush na Obama

Way back, Mapokezi ya Bush na Obama

Daaaaah ko walikausha tu kwny gari[emoji23][emoji23]
Walikausha mzee Yani nilijiona kama bwege [emoji16] aisee watu walitegemea washua watapunga hata mikono lakini wapi.
 
Hahaha nakumbuka barabara zilipigwa deki, watu walikaa pembeni ya barabara kumsubiri, zipo familia walipika wali na nyama.

Pale mjini shule na vyuo vilikatazwa kufunguliwa, nakumbuka nilikua IFM wakati huo, masomo yalisimamishwa kwa muda.

Nchi z Africa zina laana na ushamba wa asili, hili tutakataa hadharani ila tutalikubali kimoyo moyo, ndani kwa ndani.
Angelikuwa Dikteta uchwara hasinge kubali ujinga mwingi huo

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Na kumbuka Bush alipokuja Arusha miaka ile, sasa pale kwenye barabara inayotoka sanawari kushukia huku AICC kulikuwa na polisi wengi waliojipanga pembeni ya bara bara wakimsubiria Bush mwenyewe atimbe akitokea KIA, basi wakaja watu kadhaa, kama wanne hivi, wawili ma Black na wawili wa zungu, wakaangalia angalia wale askari wetu waliojipanga barabarani kisha wakaanza kuwasukuma nje ya barabara !! Halafu wakawaamuru waondoke maeneo hayo chap! Maafande wetu wakatii bila shuruti na kusepa ASAP! nilijidharau mno

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mmmm mkuu siyo chai kweli hii [emoji15][emoji44]

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kubali kataa waafrica bado tupo utumwani unakumbuka hii[emoji116]


Huu ni Mtaa Mmoja wapo wa Jiji la Dar es Salaam, ndani ya hilo Gari alikuwepo Rais wa Taifa lenye nguvu duniani yani Barack Obama wa Marekani.Unakumbuka tukio gani kwenye ujio wake? nakumbuka barabara zilipigwa deki kabisa watu walipigwa na jua kwanzia asubuhi Hadi muda waliowaasiri.View attachment 2394945View attachment 2394954
Mkuu awa walikuwa vijana wa Bavicha nini?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Awamu ya kipindi hicho ilijidhihilisha ilivyothamini wazungu na kutokuthamini waafrika.Shughuli za kiuchumi zilisimama wiki nzima kabla ya mgeni kuja.Huo ugeni ulisumbua sana wakazi wa Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom