Walioshuhudia ziara ya Rais Obama Tanzania 2013

fundinaizer

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,724
2,627
Wadau wa Dar es Salaam mtakuwa mnakumbuka purukushani na shughuli mbalimbali katika maandalizi ya ujio rasmi wa aliyekua Rais wa Marekani Barack Obama na Mkewe Michelle.

Unakumbuka matukio gani yalifanywa na serikali yetu pendwa ya Tanzania ukiwa ndani ya Dar na viunga vyake?

Inasemekana DSM ilitulia na usafi uliimarishwa bila kusahau kuhamishwa vibaka na ombaomba pembezoni mwa Jiji.

Uzi tayari.

FB_IMG_16109738804257004.jpg
 
Wazee wa kaunda walitengwa kwa muda kila kitu kiliongozwa na Presidential guide kutoka marekani, ndio nilikuja gundua PSU wa bongo ni weupe kwenye nyanja ya ulinzi
Kweli mkuu, US wasingekubali Rais wa taifa kubwa kama lile alindwe na walinzi wasiopitia kashkashi za ugaidi wala attack zozote.

Maana walihisi pia vijana wa mashariki ya kati wamehamishia doria Mashariki mwa Afrika.
 
Back
Top Bottom