Wax ina shepu na wavaaji wake bana

Mizigo mikubwa mikubwa yaani mizigo 70
 
kwa huo mzigo sijui kama atafika anapokwenda
 
Namfahamu huyu ni shemeji yangu mke wa Savimbi wa ccm mtamu balaa
 
Simu yangu imegoma kabisa kufungua hii picha, Mr Rocky nitaftie mteja nauza simu 16,500 nishaichoka kabisa

mshana jr alikuwa anatafuta simu hebu muulize kama atainunua aise
Halafu usije ukaona maama utalazwa mzungu wa nne leo na shemeji hapo maana ni shiddeeerr
 
Last edited by a moderator:
mshana jr alikuwa anatafuta simu hebu muulize kama atainunua aise
Halafu usije ukaona maama utalazwa mzungu wa nne leo na shemeji hapo maana ni shiddeeerr

Hapa akijua kama nimefungua mtaa huu basi kuna kesi yakujibu baadae
 
Last edited by a moderator:
mshana jr alikuwa anatafuta simu hebu muulize kama atainunua aise
Halafu usije ukaona maama utalazwa mzungu wa nne leo na shemeji hapo maana ni shiddeeerr

Hiyo simu hiyo hiyo Mr Rocky imefungwa tracking device siitaki hata bure
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa umepata mgao wa escoro utafiti

Umeona eeeh mkuu mshana jr jamaa ana simu kali wakati sisi tuna za mafungu za elfu tatu tatu

nilikuwa nakula nimeacha yaani ungeniona ungejua mimi ni mgonjwa

Mkuu MO11 itabidi tutafute dawa ya kutoangalia hizi mambo aise maana zinatupa shida sana aise

Hiyo simu hiyo hiyo Mr Rocky imefungwa tracking device siitaki hata bure
Mkuu utafiti hebu kuja kipande hii umpe mshana jr sababu za kuuza simu yenye madude dude ya kiinglish
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…