Wawili wauawa Arusha

Wawili wauawa Arusha

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
578
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze
 
Kama ni kweli
R. I. P mfanyabiashara wa vipuri na mafuta!!
 
Rekebisha heading kuwa auawa na sio kaua. Anyway kama kweli apumzike kwa àmani
 
Kuna habari zimeenea mjini hapa Mkoani Kilimanjaro kuwa mfanyabiashara Maarufu wa mafuta na vipuri vya magari Anayemiliki kampuni Ya PANONE amefariki kwa kupigwa risasi mkoani Arusha bdo ni tetesi kama ni kweli wenye taarifa zaidi watujuze

Kwani hizi Panone si ni mali ya Riz1? Au ndio kafa?
 
ndo mambo ya utajiri wa Punje za mahindi au

Mkuu huo utajiri unapatikana wapi? Nielekeze mkuu, nimeshachoka na maisha ya kimasikini, nimechoka kulala kwenye mabox Kariakoo...
 
Sina uhakika ila kuna majambazi yameua mtu pale Karibu na idara ya maji nasikia hao watu walikuwa wanapeleka pesa bank majambazi wamekimbia na hizo pesa.
 
ila kuna wa2 wawili mwanaume mwanamkepamoja na trafic wamepigwa risasi maeneo ya idara ya maji wakiwa wanapeleka pesa benk walikuwa na pesa kutoka panone ila sijui kama ndo yeye au la ila alikuwa na pesa mingi kweli
 
Either ujipeleke au wakupeleke au? Mmh mambo yanakuwa sio sasa!
 
Back
Top Bottom