Wawili wafariki, mmoja apooza kwa mstuko wa bomoabomoa

Wawili wafariki, mmoja apooza kwa mstuko wa bomoabomoa

Ni ukatili!!!
Sio ukatili tu bali ni ushenzi pia. Vipi utambomolea mama mwenye watoto 10 bila ya kujua ataelekea wapi? Of course ataelekea kwenye kifo tu na huko ndiko alikoelekea. Tuacheni jamani ushenzi kama huu kutokea tena. Hii ni nchi yetu sote. Mkoloni tumemfukuza zamani!
 
Huenda vyombo vya habari vimekuwa haviandiki saana juu ya madhara yatokanayo na bomoa bomoa inayoendelea, kama watafanya utafiti kwa nafasi yao na kuripoti matukio kisawia, utagundua kwamba kuna watu wengi saana wamepoteza maisha, na wengine kupooza kutokana na mshituko. Ajabu mtu anakuwa mkimbizi katika nchi yake mwenyewe. Mama Tanzania machozi yako yapo wapi???
 
Hii kwa serikali ingewaandaa wananchi kisaikolojia kabla ya kufanya hvyo.La sivyo itaua wengi
 
Hata oparesheni haikuwa shangwe ila Matokeo yake leo tunayafurahia. Baba yangu alinyang'anywa mashamba bila fidia. Tulilalamika sana. Fidia tuliyopata ni kufutwa tabu ya watoto kutembea km 8 asubuhi na 8 jioni kwenda shule ya Msingi. Wadogo zangu na wanangu hawaamini kuwa tulitembea km 16 kila siku ya shule,suluhu ilikuwa oparesheni vijiji. Naungana na wanaowahurumia wajane,wagane,wazee vikongwe na wagonjwa badala ya kulaumu tujitolee kuwasaidia. Tunachangia harusi kwenda kula sahani moja ya chakula na bia 2 au 3 kwa kutoa laki moja bibi na bwana. Tuwachangie walioathirika kupata viwanja vilivyopimwa. Tujitokeze kuchangia ,lkn ubomoaji uendelee.
 
Tusimlaum tu present kufa kwa w2 5 au kwaajir ya kubomorewa nyumba zao,nakupoteza watu 100 au 150 kwa mafriko ya kuzama na maji bora kip? mali zao na wao wenyewe
 
Kiushaur tu wataftiwe maeneo mengine wakae maeneo yapo mengi tu yamepigwa kufur
 
Watu wameteseka Na wataendelea kuteseka sana, wamedhalilishwa sana Na serikali ya CCM kwa maamuzi yao yakipuuzi kupelekea wengine kupoteza maisha, marehemu wote waliokufa kwa sababu ya bonoabomoa roho zao hazitapumzika kwa amani huko ziliko hadi CCM itakapo tubu, Na watarudi kimzimu zimu kuisambaratisha CCM Na serikali yake
 
Mie namwoomba rais magufuri chonde chonde awasaidie wananchi wake awo wa mabondeni awape viwanja bure vilivyopimwa pia serikali yake iwasaidie kuwajengea Nyumba za bei nafuu ili wananchi waweze kuendelea na maisha yao kama binadamu wengine.pia mweshimiwa rais unatakiwa kutambua Kuwa awo wananchi Wote ni Masikini ndo maana walikimbilia uko mabondeni.
 
Wamemuingiza Magufuli king.Kiustaarabu na kurudisha imani angalau kidogo tu kwa Rais...wahusika yaani mawaziri wanaohusika waachie ngazi.
 
Back
Top Bottom