ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
waiting.......................................
ubarikiwe mtumishi
eti wewe ni mpiganaji???
Kwa Dunia ya sasa UVUMILIVU ni msamiati.Inahitaji neema kwa kweli.Mimi nimevumilia na bado naendelea kuvumilia japo si njia rahisi..Ni Mungu kaniwezesha.
Lakn ikumbukwe kwamba kila jambo lina faida na hasara,so ni jukumu la kila mtu kufanya COST BENEFIT ANALYISIS ya hilo jambo then unaamua kusuka ama kunyoa.
Pindi utakapoamua kusuka ama kunyoa naomba unitafute...ninamiliki saluni y wamama na wababa.
Halafu ukitaka kusuka nitakusuka kama ule mtindo uliosuka siku ya White Party!!!
Ni kwa NYWELE zote..!?? au mme specify..!??
eti wewe ni mpiganaji???
Dah...!! umeshusha mistari ya maana sana hadi nimekupenda, sasa sijui nijilipue au ndo vile tena niwe na subra..!!?
Ubarikiwe!
Dah!somo zuri sana na siku zote mvumilivu hula mbivu,thanx 4 da leson @Ladyfurahia!
Ningemsaidia kukujibu ila naogopa atanikoa konzi