Wawakilishi Pekee Michuano ya Vilabu Barani Afrika

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
image014.jpg
Tukio hili lilifanyika wakati wa uzinduzi wa SIMBA TV ikiwa ni saa chache kabla ya kuivaa Kiovu...bila shaka mliona jinsi timu ilivyochoka kipindi cha pili......namuangalia Maftah tayari keshapendeza...na ndiye alikuwa uchochoro siku hiyo.........
 
Back
Top Bottom