Nikiwa Rais wa CAF nafuta mashindano ya Africa Football League (AFL)

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,980
Hi michuano inapeleka upendeleo kwa baadhi ya vilabu hususan hivi vikongwe Kama Raja Casablanca, AS Vita, Yanga Africa, kaizer chief na club afrcane ya nchini Tunisia

Nimeona baadhi ya video ikitembea mtandaoni kuonesha jins ufunguzi wake utakavyo fanyika na kupelekea roho yangu kuuma vibaya baada ya kuona club yangu pendwa ya raja Casablanca kuto kushirikishwa ktk michuano hii muhimu na Bora kbsa kuwahi kuwepo Afrika.

Nimeona waandishi wa radio efm na cloud fm wakihisifia na kuonesha mahaba Yao kwa timu ya Simba kushirikishwa Moja kwa Moja Hili limeleta chuki Sana kwa mashabiki wa raja Casablanca.

Moja alikwenda mbalu Zaid aksema kupanga Ni kuchagua kwamba ikiwa Simba SC club itashiriki kwa siku hyo moja tu kwa mechi mbili atavuna mpunga wa 2.3 billion kwa siku hyo tu na Kama atafika mbali Zaid atabeba pesa ndefu pia ikiwa atafika fainali ,, imagine mpunga wote huo ulio wekwa kwa Simba SC kwa mechi moja tu ,,Ina maana hata Simba akifurunda CAFCL Bado Ana sehemu ya kujivunia ya michuano ya kitajiri ya Africa football league AFL.

Hi michuano inapelekeaa chuki kubwa na hasira kwa ma giant wa kubwa wa soka barani Africa kuto kushirikishwa kwao.

Sioni maana ya michuano hii au vinginevyo wafute hi ya cafcl Kisha wote tushiriki ktk michuano hii Bora kbsa barani Afrika.

Nikiwa rais wa caf nitahakikisha michuano hii Naifutilia mbali na bingwa wake namvua ubingwa huu kwani Ni michuano ya kiubaguzi na husda imeandaliwa mahusuzi kuwa nanga vilabu vikongwe na

Ni upuuzi mkubwa bila raja Casablanca kushikishwa nimeumia mno Basi Sina Cha kufanya Zaid niwaombe baya lolote liwakute Simba haswa kufungwa magoli mengi Zaid na Kisha kutia aibu taifa zima na mm nitafurahi mno ingawa wamepata pesa ndefu kwa msimu mmoja tu

Kwako katibu mkuu wa Simba SC bwana GENTAMYCINE natambua umeshiriiki vyema kuinyima raja kuto kushirikishwa.
 
Hi michuano inapeleka upendeleo kwa baadhi ya vilabu hususan hivi vikongwe Kama ,raja Casablanca ,as Vita ,yanga Africa ,kaizer chief na club afrcane ya nchini Tunisia

ER=156632]GENTAMYCINE[/USER] natambua umeshiriiki vyema kuinyima raja kuto kushirikishwa
Acha Kujipendekeza / Kushoboka Kwangu Mnafiki na Punguwani Mkubwa Wewe sawa?

Unajifanya kutengeneza Urafiki nami ili Kunizuga nisiwe nakumbushia kutokujua Kwako Lugha ya Kiingereza na Juzi Kuchapia na Kutia Aibu Kubwa kwa Kuandika Kiingereza Broken na ambacho Kimekuchoresha na Kukudhalilisha mno tu.

Ukitaka twende sawa na niache Kukumbushia hii / hili Kiri hapa kuwa hujui Kiingereza na kwamba ile Juzi ulikuwa Unajitutumua tu Kwetu ili nawe uonekane hukukimbia Umande sawa?

Na nakiweka hapa chini hicho Kiingereza chako Kibovu ulichokiandika Juzi kama Kumbukumbu ya Upuuzi wako na Sifa zilizokutokea puani......

"Otherwise these is absolutely rubbish" by damn Fool dr namugari

Kudadadeki....!!
 
Popoma toka lini mm nimesema najuwa kingereza kukudhidi wew msomi mahiri mwandamizi

Mm hata kiswahili chenyewe sikujui vzr

Zaid Sana wew utabaki kuwa popoma tu
 
Namna ambavyo mashabiki wa raja Casa Blanca huko TZ huonekana wasikiapo neno

Africa football league​

Hali ni mbaya sana sikushangaa viongozi wao kuiomba serikali iwaombee na fasi na wao washiriki
F8d1iIZW8AAZqp9.jpeg
 
Namna ambavyo mashabiki wa raja Casa Blanca huko TZ huonekana wasikiapo neno

Africa football league​

Hali ni mbaya sana sikushangaa viongozi wao kuiomba serikali iwaombee na fasi na wao washiriki View attachment 2784135
Sisi raja hatujapendezwa na Hilo lolote liwakute haswa kupigwa magoli mengi had mjute kushirikishwa
 
Hilo la kawaida tu, nafahamu mashindano yakishika kasi huko mbeleni timu zitaongezwa, ni suala la muda tu.
 
Hi michuano inapeleka upendeleo kwa baadhi ya vilabu hususan hivi vikongwe Kama ,raja Casablanca ,as Vita ,yanga Africa ,kaizer chief na club afrcane ya nchini Tunisia

Nimeona baadhi ya video ikitembea mtandaoni kuonesha jins ufunguzi wake utakavyo fanyika na kupelekea roho yangu kuuma vibaya baada ya kuona club yangu pendwa ya raja Casablanca kuto kushirikishwa ktk michuano hii muhimu na Bora kbsa kuwahi kuwepo Africa

Nimeona waandishi wa radio efm na cloud fm wakihisifia na kuonesha mahaba Yao kwa timu ya Simba kushirikishwa Moja kwa Moja Hili limeleta chuki Sana kwa mashabiki wa raja Casablanca .

Moja alikwenda mbalu Zaid aksema kupanga Ni kuchagua kwamba ikiwa Simba SC club itashiriki kwa siku hyo moja tu kwa mechi mbili atavuna mpunga wa 2.3 billion kwa siku hyo tu na Kama atafika mbali Zaid atabeba pesa ndefu pia ikiwa atafika fainali ,, imagine mpunga wote huo ulio wekwa kwa Simba SC kwa mechi moja tu ,,Ina maana hata Simba akifurunda CAFCL Bado Ana sehemu ya kujivunia ya michuano ya kitajiri ya Africa football league AFL

Hi michuano inapelekeaa chuki kubwa na hasira kwa ma giant wa kubwa wa soka barani Africa kuto kushirikishwa kwao

Sioni maana ya michuano hii au vinginevyo wafute hi ya cafcl Kisha wote tushiriki ktk michuano hii Bora kbsa barani Africa

Nikiwa rais wa caf nitahakikisha michuano hii Naifutilia mbali na bingwa wake namvua ubingwa huu kwani Ni michuano ya kiubaguzi na husda imeandaliwa mahusuzi kuwa nanga vilabu vikongwe na

Ni upuuz mkubwa bila raja Casablanca kushikishwa nimeumia mno Basi Sina Cha kufanya Zaid niwaombe baya lolote liwakute Simba haswa kufungwa magoli mengi Zaid na Kisha kutia aibu taifa zima na mm nitafurahi mno ingawa wamepata pesa ndefu kwa msimu mmoja tu

Kwako katibu mkuu wa Simba SC bwana GENTAMYCINE natambua umeshiriiki vyema kuinyima raja kuto kushirikishwa
#HiiHaiwahusu
 
Popoma toka lini mm nimesema najuwa kingereza kukudhidi wew msomi mahiri mwandamizi

Mm hata kiswahili chenyewe sikujui vzr

Zaid Sana wew utabaki kuwa popoma tu
Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi Moron and Bipolar Case Mmoja Wewe?
 
Hi michuano inapeleka upendeleo kwa baadhi ya vilabu hususan hivi vikongwe Kama Raja Casablanca, AS Vita, Yanga Africa, kaizer chief na club afrcane ya nchini Tunisia

Nimeona baadhi ya video ikitembea mtandaoni kuonesha jins ufunguzi wake utakavyo fanyika na kupelekea roho yangu kuuma vibaya baada ya kuona club yangu pendwa ya raja Casablanca kuto kushirikishwa ktk michuano hii muhimu na Bora kbsa kuwahi kuwepo Afrika.

Nimeona waandishi wa radio efm na cloud fm wakihisifia na kuonesha mahaba Yao kwa timu ya Simba kushirikishwa Moja kwa Moja Hili limeleta chuki Sana kwa mashabiki wa raja Casablanca.

Moja alikwenda mbalu Zaid aksema kupanga Ni kuchagua kwamba ikiwa Simba SC club itashiriki kwa siku hyo moja tu kwa mechi mbili atavuna mpunga wa 2.3 billion kwa siku hyo tu na Kama atafika mbali Zaid atabeba pesa ndefu pia ikiwa atafika fainali ,, imagine mpunga wote huo ulio wekwa kwa Simba SC kwa mechi moja tu ,,Ina maana hata Simba akifurunda CAFCL Bado Ana sehemu ya kujivunia ya michuano ya kitajiri ya Africa football league AFL.

Hi michuano inapelekeaa chuki kubwa na hasira kwa ma giant wa kubwa wa soka barani Africa kuto kushirikishwa kwao.

Sioni maana ya michuano hii au vinginevyo wafute hi ya cafcl Kisha wote tushiriki ktk michuano hii Bora kbsa barani Afrika.

Nikiwa rais wa caf nitahakikisha michuano hii Naifutilia mbali na bingwa wake namvua ubingwa huu kwani Ni michuano ya kiubaguzi na husda imeandaliwa mahusuzi kuwa nanga vilabu vikongwe na

Ni upuuzi mkubwa bila raja Casablanca kushikishwa nimeumia mno Basi Sina Cha kufanya Zaid niwaombe baya lolote liwakute Simba haswa kufungwa magoli mengi Zaid na Kisha kutia aibu taifa zima na mm nitafurahi mno ingawa wamepata pesa ndefu kwa msimu mmoja tu

Kwako katibu mkuu wa Simba SC bwana GENTAMYCINE natambua umeshiriiki vyema kuinyima raja kuto kushirikishwa.
Kabisa aisee......
 
Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi Moron and Bipolar Case Mmoja Wewe?
Mjinga mmoja tu huna lolote kinywa chako kimejaha matusi

Otherwise these is absolutely rubbish
 
Back
Top Bottom