Wavutiwa na Nini Weye?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
16142238_944315879001728_5563006926977073450_n.jpg
 
hizi picha za kulazimishwa zina shida sana , hata kujiandaa hamna , muone Huyo wa kati kati sasa
 
hii picha Huwa inafanana siku zote,angalia hata wakati obama anabadilishana na bush,obama na mkewe walinuna lakini bush na laura walikuwa happy sana.

they want to show the difference between going to work Vs going to holiday.
 
Unaweza kuta Trump na mkewe katika public kama hawana habari lakini chumbani wako motomoto lakini Obama na mkewe katika public wako motomoto ila chumbani mzungu wa nne..naona Trump kaandamwa sana.
You are very very right! Ameandamwa mnooo!
 
Trump Akihenyeka Mchana kutwa usiku anakutana na striper wa hatari sana kwa bed, Melania ni hot sana aseee
 
Back
Top Bottom