Wajumbe wa IPU wavutiwa na Ngorongoro

Wajumbe wa IPU wavutiwa na Ngorongoro

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,179
Reaction score
902
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wamepata fursa ya kujionea uzuri wa mazingira, mandhari ya kuvutia na utajiri wa wanyamapori katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, wakieleza kufurahishwa na uzoefu wao nchini Tanzania. Ziara hiyo ni sehemu ya fursa ya wageni kuifahamu zaidi Tanzania nje ya shughuli za mikutano ya kimataifa.

#IPU #Ngorongoro #VisitTanzania #TanzaniaTheLandOfWonders #Touri


sm
 
Back
Top Bottom