Aikatai aikatox Gachuland bablai,,Yechu yechu.nakuaminia arifu,wavutaji wa fasi ya chugastan nawaheshimu na sina shaka na wewe,ila huyo dadalai nishamdekeree mwenyewe,anakula ile jani ya kushato,yule sio kichwa cha panzi chalii yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ni kwere Dingii..Weed it's all about control mi huwa sipendi shida Naroll sticks 6 ivii au kumi then na micx kwenye box la Embasy nikiwa nipo club that my tecnick Kama Illusion, I remember b4 class asubuhi huwa napiga sticks za kutosha but one thing sijawahi zingua na akili inatulia nakumbuka niliwahi kuwa best student on presentation ya Qm (quantitative mathematics) pale IFm Diploma class iliniheshim , I smoke weed almost like every day just now how when and ur environment nikitoka job pale posta opposite na Kituo cha polisi pale huwa tunakula vituuuu vya kutosha ila environment kama unaielewa pluss beer na pombe kali(konyagi) hamna shida just now how when and the inviroment na pia kuwa predictive any thing can happen, Weed is the best Drug evva, Pale Magomeni kuna Kush inauzwa 5thau sijajua ikoje but is hell off a joint sijawahi purchase but nilipiga kitu cha mwana it THC. Was deferent...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mti unamiezi mingapi huo?Asee kuna siku majani yake nimeyasaga yakawa kama unga..Nikanunua na dagaa na Konyagi,,Zile dagaa nikaziweka kwenye sufuria then nikamimina konyagi itumike kama maji na mafuta pia,,Nikaweka na unga wake nikasubili kitu kiive,nikasonga na nguna angu pale fiade mambo yakawa wiu wiu..
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Relax,hii ni kwajili yako,uwe na wikiend njemaView attachment 1023364
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mazuri kwaajili ya watu wazuri.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Navuta picha lol
haha na machalii ya mikoa mingne nayo inamoka piaHuu Uzi utajaa machalii ya Araa
Labda wale kutoka kanda maalumhaha na machalii ya mikoa mingne nayo inamoka pia
Kuweni makini wazee shit is still illegal out here,them feds be watchin.
Anaswi mtu kiboyaboya hapa.huu Uzi utanisaidia kukamata watumiaji wa dawa za kulevya na wasambazaji
Hahah yako ya wapi mkuu?Kama yangu
Hahah yako ya wapi mkuu?
Ndo wapi huko mkuu,au ushawaka tayari?Hii nadosoityo
Karibu na uryumotony hukooNdo wapi huko mkuu,au ushawaka tayari?